Nyodo zingine bwana

Sure..Na hawa wadada wenye nyodo ni ****** pia..Ndo mana hata walivyojibiwa hivyo wakasepa..Ukiwa na Nyodo sharti uwe mtata na hauna aibu..
Hahahah kweli aisee

Yaani walitakiwa kuwachenjia na kuwauliza kama kazi yao inahusu salamu au vipimo vinakubali wakisalimiwa....kisha wapige mkwara kutaka kumuona supervisor wao

Kingine nahisi hao manesi ni wanawake....maana wanawake wakikutana nao mmmmh
 
bora tu nionekane naringa,
nimekutana na matukio ya kushangaza baada ya kuwa msalimiaji.
tukio la kwanza kuna mahali nilisalimia yule mama akaniambia "unanipa shikamoo nalingana na mama yako kijijini" ?
tukio la pili nilisalimia nikaambiwa " mind your own business"
tukio la tatu nikasalimia watu wote kimya,
kuanzia hapo sisalimii.
nikifika mahali kama hakuna reception basi nitajiongeza mbele kwa mbele,
ila salaam kwa strangers ni mwiko.
 
kwani waliokua nje ni maNesi au wagonjwa?
 
kwani waliokua nje ni maNesi au wagonjwa?
Hawakusalimia hata manesi ndo maana waliwaeleza waende nje wakapate maelekezo. Je wangetanguliza shikamoo wanangu madaktari bingwa si wangeelekezwa?
 
Kwa hiyo wewe huamini kama ukimsalimia mwanaume atakuomba namba ya simu?
Na huwa mara nyingi sipendi kumpita bila salam nsomjua na huwa nafanya kwa tahadhali na ndo kama iyo ya hao mabinti mie hata mateja nawapa hi napita kishikaji tu! Ukiwaza kuombea namba muda wooote unapoteza tu muda
 
Basi wote ulokutana nao hapo kwene maelezo yako wana akili kama za mabinti wa mtoa mada
 
Na huwa mara nyingi sipendi kumpita bila salam nsomjua na huwa nafanya kwa tahadhali na ndo kama iyo ya hao mabinti mie hata mateja nawapa hi napita kishikaji tu! Ukiwaza kuombea namba muda wooote unapoteza tu muda
Sasa sweet16 hapa tayari ni kama tumeisha salimiana au vipi?,samahani naomba uniwie radhi,naomba namba yako ya simu sababu nataka nikuulize jambo muhimu mara moja tu,naomba unitumie PM.
 
Kuna Watu wako tofauti sana. Hapa mtaani kuna mzee ukimsalimia anakuangalia tu wala haitiki. Siku hiyo ana shida yeye nimsogezee kiti maana nilikuwa napita karibu na yeye akawa ananiita nikamkaushia tu.

Ila salamu muhimu, na wale wanaosalimia waitikie
 
Asante sana dugu kuleta maada hii watu wenye tabia hizi wapo wengi sana sio hospitalini tu wengine kwenye usafiri, mimi nimetangulia kukaa kwenye siti tunasafiri kwenda Mwanza mtu anakuja anakaa kiti cha pili bika salamu anaendelea na mambo yake mara simu mara oooooo nipo safarini mara oooo unasemaje shoga nimesahau kuchukua vipande vyangu vya kuku nilivyovikaanga jana usiku kwa ajili ya kula safarini.. baadae unakuja kugundua mtu mwenyewe kule anakoenda ni mgeni anaanza kujishaua mara ooo sijui tumefika wapi hapa mara sijui tutafika saa ngapi Mwanza amesahau kwamba aliingia na kukaa kwenye kiti chake bila kujali kunipa walau salamu fupi tu... ya habari? anakaa huku anatafuna bg mdomoni utafikiri ana mkataba na kampuni inayotengeneza hizo bg si sawa kabisa watu wa namna hiyo huwa nachunia kinoma sana... tena wakat mwingne nawambiaga nenda kamuulize yule kaka au dada wa kiti cha mbele atakusaidia wanakomajeeee!! nyodo juu ya nyodo shenzi kabisaaaaa!
 
Sasa sweet16 hapa tayari ni kama tumeisha salimiana au vipi?,samahani naomba uniwie radhi,naomba namba yako ya simu sababu nataka nikuulize jambo muhimu mara moja tu,naomba unitumie PM.
Nenda PM bana si lazima namba ya simu
 
Wewe ni mtoto mzuri. Hongera sana kwa utu wako.

Ila mkuu ninachojua wewe ni jinsia ya kike, sasa mbona umemsifia sana huyo duu mwenzio na ukaenda mbali zaidi kwa kusema kuwa alikuwa na kitu ambacho ulikipenda? Ha ha ha
Ahah ata mi nimejiulz alaf anadai kavaa min miguu hyo dah!!!!!! mwisho anamkoba akatoa mtandio.
 

Ha ha ha...best usifanye hivyo banaa. Nakushauri uanze tena kusalimia raia ukiwakuta mahali. Hizo incidences tatu ni bahati mbaya tu. Usizitumie ku-generalize. Watu wengine wana mastress na mafrustrations yao. Wakinyamza au kukujibu vibaya wewe endelea na hamsini zako. Achana nao. Sana sana wahurumie tu. Pole sana rafikiangu.

Halafu kimya sana aisee...
 
sawa mkuu,
nipo pale pale.. saumu tu inanikamata. karibu sana nakusubiri.
 
Hilo nalo neno......
Kuna wengine hawapendi salamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…