Nyodo zingine bwana

Salamu kitu gani kwani?yaelekea hamjatoka nje ya bongo nyie
 
Tena wanatakiwa kufahamu kwamba msichana akiwa mrembo sana kisha akawa na heshima ya kusalimia watu, urembo wake utawavutia watu wengi zaidi na atapendwa sana. Wengi hawajui hii siri.
 
Ukipingana na utamaduni uliozoeleka ndugu utaumia.
 
Kuna nchi ukisalimia wanakushangaa. Ila ukiwa Roma fanya Kama waroma. Ukiwa TZ kusalimia muhimu
 
Kuna nchi ukisalimia wanakushangaa. Ila ukiwa Roma fanya Kama waroma. Ukiwa TZ kusalimia muhimu
Duty of care, standard of care zinawataka wauguzi kutoa msaada hata katika mazingira yasiyo rafiki yaani hata ukiwa nje ya eneo la Kazi sembuse Salam. Huu ni ukiukwaji wa hali ya juu wa misingi ya uuguzi. Salam mtu hatibiwi!! Sijawahi kusikia huu upuuuzi katika nchi nyingine yeyote ile.

Kuna mtu alisema watanzania Ni wastaarabu hadi wamekuwa wajinga nadhani hiki kisa kina validate huu usemi.
 
wangetoa msaada endapo wangeulizwa, hawakuulizwa sasa ulitaka waanze kujipendekeza kwamb jaman njoo tuwape utaratibu, nyooo, nan afanye hyo kazi.
 
Acha uongo wa kipuuzi, hosp gani aulizwe nesi pa kupata utaratibu wa matibabu, nesi akurudishe kwa wagonjwa ukaulize huko?
 
Unaoshwa nini?? Eeeh masia
 
wangetoa msaada endapo wangeulizwa, hawakuulizwa sasa ulitaka waanze kujipendekeza kwamb jaman njoo tuwape utaratibu, nyooo, nan afanye hyo kazi.
Unajua kusoma? Umesoma na kuelewa au una intellectual disability huwezi kuelewa yani kilaaza.

Uzi unasema waliuliza manesi utaratibu manesi wakawaambia warudi kuwauliza wagonjwa wenzao kitu kilichopelekea hao wadada kuondoka
 
Kuna kitu mnashindwa elewa kwa jamii na tamaduni zetu za ki Africa....dont be carried away with these Western cultute all they do is promote nd encourage some shitty things i.e. ushoga, ubinafsi, ushetani, Greed and the like au niseme lifestyle zao zina encourage such things.

Mimi tokea nakua shuleni, sunday school na kipaimara tumefundishwa maadili kitu salamu au kujulia watu hali in a short greeting si jambo la hasara....bali u get to connect with people positively and if thats not enough it sometimes opens up and brings a sense of loyalty and affection which can sumtyms get back to u in one way or another (i.e. The Law of Cause & Effect).

Mara nyingi ukijikuta wa kisasa sanaa, utajizika mwenyewe mjini hapa. Hujawahi ona mtu anapatwa na tatzo yet u wonder why some people wanajitoa kweli kumsaidia without having to get anything in return na kuna mwingine ana mipesa kibao ila hamna mtu aliyeko loyal kwake like anatumia nguvu nyingi sanaa ku solve jambo dogo tu.

Anyway its ur choice.
 
Unajua kusoma? Umesoma na kuelewa au una intellectual disability huwezi kuelewa yani kilaaza.

Uzi unasema waliuliza manesi utaratibu manesi wakawaambia warudi kuwauliza wagonjwa wenzao kitu kilichopelekea hao wadada kuondoka
we ndo unaandika tu lakn hujui utaratibu wa hospital, kuna eneo linaitwa mapokezi, hapo ndo biashara za kuulza zinaishia hapo, yan yule anaekupa file anatakiwa akuelekeze location yoyote ya kimatibabu hapo ndani na hata gharama na sio mtu unapita huko kote kimya unaenda uliza manesi! wamefanya hivo wakimaanisha kuwa manesi somtyms wanakuwa bize karibu wote kuhudumia wagonjwa, sasa kila mmoja akiwa anaingia kuwauliza maswali huduma humo ndan huduma zitaenda kweli? ndo mana kila mmoja akapewa majukumu yake. tena hosp zingine unakuta chumba kabsa mapokezi kimeandikwa "uliza hapa".
yote hyo nikukuonesha tu kuwa wahudumu wa afya mule ndani wako very busy so hawatoweza kumjibu kila mtu maswalh yenu na pia sio jukumu lao...!
 
Naomba nikutahadharishe kuwa ukifika hospitali usipomsalamia mganga lwako au nesi na hata ukiwa mkubwa msalimie 'shikamoo mwanangu daktari' ingawa ni NESI. Hapo utahudumiwa kama mfalme, kumbuka huwezi kubadili ulimwengu mengine mbwembwe. Hivi unajuaa hongo hapa TZ ambayo si ghali ni SHIKAMOO mwanagu? La sivyo utoe chochote kipi bora?
 
Unajua kusoma? Umesoma na kuelewa au una intellectual disability huwezi kuelewa yani kilaaza.

Uzi unasema waliuliza manesi utaratibu manesi wakawaambia warudi kuwauliza wagonjwa wenzao kitu kilichopelekea hao wadada kuondoka
na hao waliopo nje wasingeweza kuguess kwamb hawa watu wanashida flan tuwasaidie, na hao wadada hata kama wajatoa salamu sidhan kama wangeshndwa kuelekezwa mana watanzani mi nawafahamu vizur, japo wajapewa salamu lakn wangewaelekeza kiroho safi tu, na kingine kuondoka kwao ni bonge la dharau wakimaanisha kwamba "hawababaishwi" mana hosp kuna watu weng sana, inamana hawakuona hata raia mmoja wakumuuliza? yani hata mlinzi wa geti? aaah! you cant be serious meen
 
Ndiyo upuuuzi wenyewe huo. Watu wanapenda salamu as thou zinawaongezea au kupunguza kitu. Nchi za watu ni kawaida kutomsalimia boss wako na Kazi zinaenda, bongo mtu hatoi huduma kisa hajasalimiwa huoni kama huo ni mtindio ubongo wa aina yake.
 
Tatizo lipo kwa manesi, ni wajibu wao kutoa huduma sababu wao ndiyo waajiriwa na si wagonjwa/wateja wengine. Najiuliza kama hawa wahudumu huwa wanasoma duty of care and standard of care.
 

Hongera kwa moyo huo. Ila umeandika kiume na kihuni hatari. Duh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…