colin_morgan
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 2,438
- 2,929
Aah mkuu kukufananisha mtu unajua na kukuangalia kimitego pia unajua , yaan kuna mitego mengin kaonesha sijaorodhesha ktk uziatakuwa amekufananisha tu mkuu, umetafsiri vibaya
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Na wewe kwanini usingekaa nalo moyoni mpaka atakaporudi pekeake ndio usimulie alafu uombe ushauri baadae ulete mrejesho kama ulimkataa ama ulimla! Kakuangalia tu thread... Akirudi pekeake thread, akikutaka thread .. Ukimkataa au kumkubali thread ... Ukimla thread jamani mweeeee.....
Mkuu , sio mgeni wa hayo mambo najua mtu kukuangalia kawaida na kutokua kawaida yaan mtu anakuangalia kabisa kihisiakwan kuangalia tu ndio unasema amekutamani.. Thibitisha kama amekupenda
Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
Aah mm nakemea kwenu wadada kwann muwe macho mweru mweru wakat tayar mna waume zenu munatuweka majaribun bwanaNa wewe kwanini usingekaa nalo moyoni mpaka atakaporudi pekeake ndio usimulie alafu uombe ushauri baadae ulete mrejesho kama ulimkataa ama ulimla! Kakuangalia tu thread... Akirudi pekeake thread, akikutaka thread .. Ukimkataa au kumkubali thread ... Ukimla thread jamani mweeeee.....
Aah mm sio mtoto ww najua love at first site how it looks likeYaani macho tu yamekufanya ujione ushapendwa.
Wacha hayo mawazo mkuu mana mwishowe utataka utupe ndoano na ndio utakuwa mwanzo wa kupewa makavu live.
Labda anakufananisha na houseboy wao wazamani mkuu.Habar zenu wana jf ,
Jana tu nilitoa uzi kuhusu kutaka kuhairisha ndoa kutokana na wanawake wawil , ambao wametokea kuonesha kunijal sna
Leo nimekutana na makubwa mpaka nimepigwa na butwaa
Ni hivi kuna dada kaja na mumewe kupata huduma za ki afya ninapofanya kazi bas skuamin jins alivyokua ananiangalia uson yaan all the time had nampa maelez yy hayupo kabisa ananiangalia tu machoni , had anakuja mumewe akaanza kujibabaisha
Yaan kuna miangalio flani nazan wakuu munajua sio ya kawaida yaan had nimejiskia vibaya kwa kwel alipokuja mume wake yule mdada
Leo kaja na mumewe ila naamin atakuja tena peke yake next time
Mbona wanawake hamridhiki na waume wenu na badala yake munatueka ktk majaribu sisi wengine
Kumalizia nitakuja hapa hapa kuwapa mrejesho sikua atakayokuja tena naiman atarud as soon as possible
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahha wacha utani mkuu mim niko serious muache hizo tabia , murkdhike na waume zenu japo wana vitambi mukituona sisi fit slim body macho yanawatoka