Nyimbo za zamani

Nyimbo za zamani

ex-man

Member
Joined
Jun 3, 2018
Posts
64
Reaction score
46
Wapendwa naomba mwenye nyimbo hizi anisaidie kwani nimezitafuta sana YouTube na kwingineko bila mafanikio. Nyimbo za Nasma Khamisi Kidogo(zote), nyimbo za Khalila Yusuph Tongola na ikibinda nkoi(mtunzi simkumbuki). Nawasilisha
 
Hpa namsikiliza General Defao akiwa na The Big star, wimbo unaitwa Dollar, Acha kbsa jamaa alikua vzr sana upande wa sauti
 
Wapendwa naomba mwenye nyimbo hizi anisaidie kwani nimezitafuta sana YouTube na kwingineko bila mafanikio. Nyimbo za Nasma Khamisi Kidogo(zote), nyimbo za Khalila Yusuph Tongola na ikibinda nkoi(mtunzi simkumbuki). Nawasilisha
Kuna uzi humu ulianzishwa, wa kuweka jina la wimbo wowote unaoutafuta, utatafutiwa.
 
Back
Top Bottom