Nyimbo za zamani Bakurutu kali ni zipi

Nyimbo za zamani Bakurutu kali ni zipi

Mbingo

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2014
Posts
411
Reaction score
230
Habari wadau naombeni msaada wa nyimbo za zamani bakurutu za bongo na kenya ahsante naomba kuwasilisha
 
Oohoohoohhh sikujuà kama utabadilika!! Less wanyika
 
Habari wadau naombeni msaada wa nyimbo za zamani bakurutu za bongo na kenya ahsante naomba kuwasilisha
Unataka za kina Karubandika, Les wanyika au za University Corner, Gangwe Mod, Weusi Wagumu Asilia?
 
Mashemeji Wa ngapi? - Mbaraka mwinshehe
Matusi ya nn? - Mbaraka Mwinshehe
Jogoo la shamba- mbaraka
Mtaa Wa saba - mbaraka
Georgina- Marijani Rajab
Siwema- Marijani Rajab
Zuwena- Marijani
Ukewenza- Marijani
Mary Maria- Vijana jazz - Hemed maneti
Amba- vijana jazz
 
Pamela-less wanyika
Paulina-less wanyika
Afro-less wanyika
Barua yako-less wanyika
 
Uliwahi kumsikia Kasongo Mpinga Clayton was MK group waliokuwa wakipiga muziki wao MAGOROFANI tafuta nyimbo hizi 1. Maumivu Makalu, 2 Kibera nk
 
Back
Top Bottom