Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,367
- 55,054
Mwenye kufahamu wimbo wowote wa rumba au zuku ambao ulipata kufanya vizuri miaka ya nyuma aniandikie hapa jina la wimbo na la Msanii.
Zuku na Rumba.....
Zuku na Rumba.....
Safi sana mkuu(1) Bob Ludara - Julie.
(2) Halidi Chokoraa- kuachwa.
(3) Deo mwanambilimbi - Siri.
(4) Husseni jumbe - siri.
(4) Hamza kalala - Nimekusamee.
(5) Papi kocha - Fanta.
(6) Nguza viking - sea
(7) Christian Bella - Usilie.
(8) Cosmas Chidumule - Neema.
(9) Juma Kakele - Betti
(10) Christian Bella - Mama.
Zipo nyingi mkuu.
Hata watanzania wanafanya sio kongo tu mkuu (kuna rumba,bolingo n.k ila rumba huwa za taratibu hivi)Hivi rhumba ndo zile za wakongomani???
[emoji122] [emoji122] Leo MB zangu zitaishia kwenye hizi nyimbo.Shandra by TP Ok Jazz
Leo watanikoma asante mkuuRail on - papa wemba
Nakozonga - lokua kwanza
Fati mata - Sam mangwana
Morena - Sam mangwana
Kabibi - Sam mangwana
Mama iddi - mushrooms
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji111] [emoji111] [emoji111]1. Fina Mmango ft Vijana Jazz - Shoga
2. Juma Kakere - Safari
3. Juma Kakere -Betty
4. Tshala Mwana - Kokola
5. Tshala Mwana - Dezo
6. Tshala Mwana - Karibu Yangu
7. Lady Issa - Tamaa Iliuwa Fisi
8. Lady Issa - Kuteleza Si Kuanguka
9. Lady Isaa - Dunia Ina Mambo
10. Mbilia Beli - Boyaye
12. Daudi Kabaka - Msichana wa Shule
13. Juwata Jazz - Usia kwa Watoro
14. Kanda Bongoman - Muchana
15. Lady Issa - Maisha ni Mlima
16. Magic System - Gauo
17. Mayaula Mayoni - Mbongou
18. Monika Seka - Maryoo
19. Monika Seka - Okaman
20. Samba Mapangala - Dunia Tunapita
Nadhan hizo znakutosha san kwa leo...
(1) Bob Ludara - Julie.
(2) Halidi Chokoraa- kuachwa.
(3) Deo mwanambilimbi - Siri.
(4) Husseni jumbe - siri.
(4) Hamza kalala - Nimekusamee.
(5) Papi kocha - Fanta.
(6) Nguza viking - sea
(7) Christian Bella - Usilie.
(8) Cosmas Chidumule - Neema.
(9) Juma Kakele - Betti
(10) Christian Bella - Mama.
Zipo nyingi mkuu.
Wewe ndiye umeua kabisa shukranHii list nimeipenda unaweza kuzipakua hapa
www.bongomp3.xtgem.com
Poa poa mdau share na wadau wengi zaidi hiyo linkWewe ndiye umeua kabisa shukran