Nyimbo za mapenzi zenye maneno matamu

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
51,112
Reaction score
72,580
Hey guys ,,naomba mnitajie nyimbo nzuri zenye kuleta hisia ,,yaan unausikiliza wimbo mpaka unajisikia vizuri ,,,ziwe za kizungu,kiarabu,kiswahili,,mnaweza rusha hapa au unaweza taja jina la nyimbo na mwanamuziki alieimba ili niweze kudownload
Ni hayo tu
 
Kuna dogo mmoja kwny bongo fleva nymbo zake zote ni kali anaitwa Heri Muziki
Ana nymbo chache alaf nzuri
 
Sikiliza Ananipenda by FATS ft Dady Sele huu mwimbo jioni ya leo mpaka hivi sasa nimeshausikiliza zaidi ya mara kumi mpendwa coz upo na filingz za kupendwa sana yaani kupendwa rahaaa hadi basi.
 
Sikiliza Ananipenda by FATS ft Dady Sele huu mwimbo jioni ya leo mpaka hivi sasa nimeshausikiliza zaidi ya mara kumi mpendwa coz upo na filingz za kupendwa sana yaani kupendwa rahaaa hadi basi.
Za kizungu je
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…