Nyimbo za Lowassa mpaka sherehe

Nyimbo za Lowassa mpaka sherehe

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
57,960
Reaction score
134,049
Imeripotiwa maeneo kadhb katika sherehe mbalimbali kupigwa sana "nyimbo za Lowasa".Katika mabaa,mikesha ya harusi,bathdei,nk nyimbo za kumfagilia mgombea urais wa Chadema zimeripotiwa kutamba.Japo wanaCCM kadhaa wamekuwa wakileta upinzani bila mafanikio kutokana na wingi wa wahudhuriaji wanaovutiwa na nyimbo hizo.Nyimbo zinazoripotiwa kukonga na kubamba ni ule wa mdananda ulioimbwa na Msaga Sumu "Lowasa huyooo....anameremeta" na ule unaotumika kama background kwenye tangazo la Lowasa akiomba kura...
 
Nyingine nimeiona wakiimba na kucheza ndani ya ndege. Kijani wameishiwa pumzi!
 
Msaga Sumu kawa maarufu sana 24/10 aje mapema Jangwani
 
Nikwel mkuu nyimbo za lowaxa zinabamba xana kuliko hizo taarabu za chama cha kijan
 
Naomba msaada wa jinsi ya kuapload audio niweke huu unaopigwa sana kwenye pub moja maarufu hupa mwenge wakuu
 
Huo wimbo wa Msaga Sumu ni Sindano ya Wana Kijani imewaingia mpaka ndani.
 
Msaga sumu katisha mbaya lazima serikali ijao ya UKAWA ITAMBUE MCHANGO WAKE
 
Imeripotiwa maeneo kadhb katika sherehe mbalimbali kupigwa sana "nyimbo za Lowasa".Katika mikesha ya harusi,bathdei,nk nyimbo za kumfagilia mgombea urais wa Chadema zimeripotiwa kutamba.Japo wanaCCM kadhaa wamekuwa wakileta upinzani bila mafanikio kutokana na wingi wa wahudhuriaji wanaofutiwa na nyimbo hizo.Nyimbo zinazoripotiwa kukonga na kubamba ni ule wa mdananda "Lowasa huyooo....anameremeta" na ule unaotumika kama background kwenye tangazo la Lowasa akiomba kura...

Ninazo hizo video kwenye simu yangu, anaye weza kunielekeza namna ya kuweka anielekeze niwawekee
 
aisee ninayo hiyo clip, watu walikuwa harusini then do akakiwasha
 
Back
Top Bottom