Nyimbo za asili ya Carribean ni tamu sana

TADPOLE

JF-Expert Member
Nov 18, 2015
2,843
9,278
wana jf habarin hope you are fine.leo nataka tujuzane na tushee idea na kukumbushana nyimbo hizi kutoka katika visiwa vya carribean.nchi za visiwa vya carribean ni kama vile jamaica,haiti,barbados,antigua and barbuda,bahamas,st vincent and grenadies,trinidad and tobago,bermuda ni kati ya nchi zinazosifika kimuziki.mitindo ya miziki ya nchi hzo ni reggae,ragga dancehall,raggaton,reggae fusion,soca na mitindo mingi tu.wasanii maarufu wa nchi hzo ni sean paul,shaggy,beenie man,yellow man,elephant man,wayne wonder,buju banton,t.o.k,bounty killer,gagy pine,kardinal offishals(jamaica),kevin lyttle(st vincent and grenadies),rupee(barbados),collie buddz(bermuda).
HIT SONG ZA MIAKA YOTE ZINAZOTAMBA DUNIANI NI"
1.Turn me on,she drive me crazy(kevin lyttle)
2.everbrazing,temperature,like glue,not nogoso(sean paul)
3.tempted to touch(rupee)
4.fly high,angel,tonight,church eathen(shaggy)
5.king of dancehall(beenie man
6.shes hot,gal yua lead(t.o.k
7.mamacita,shes lonely(collie buddz
na nyingine nyingi wadau tushee idea.
 
Mmh mmh Mmh umenikumbusha ujana wangu jamani. Hapo kwa T.o.k ongezea top a tappa na kwa beenie man ongezea "Dude". Afu kwa sean Paul "get busy"
C.c Kaboom
t.ok. walikuwa wanatoaga hit song tu kama vile shes hot,fire fire,top a tappa halikadhalika sean paul nae ni mwendo wa hit song tu like glue,get busy,everbrazing hazichoshi
 
Ile album ya dutty rock ya sean paul ilikuwa balaa. enzi hizo. Kweli nahisi uzee tulikuwa hatulali weekend
 
Mmh mmh Mmh umenikumbusha ujana wangu jamani. Hapo kwa T.o.k ongezea top a tappa na kwa beenie man ongezea "Dude". Afu kwa sean Paul "get busy"
C.c Kaboom
Teh teh..Kama nakuona vile unavyoyarudi hayo madancehall..Sean paul balaa lake sio la kitoto..Ilikuwa ni bandika bandua...Hicho kitu cha Beenie man(dude) kimenikumbusha mbali aisee..Nikikisikiliza kuna picha ya mdada fulani inakuja kichwani teh
 
Daddy dancehalls kwa watu wenye miguu amazing kama yangu lalalala ni balaa teh.
Hilo song la dude kama halijakukumbusha kamchepuko ka kipindi hiko sijui teh
 
Daddy dancehalls kwa watu wenye miguu amazing kama yangu lalalala ni balaa teh.
Hilo song la dude kama halijakukumbusha kamchepuko ka kipindi hiko sijui teh
Teh teh..Yani sometimes unatamani miaka irudi nyuma aisee..Na Kuna ile ya sean paul " I'm still in love with u"...zina story nzuri sana kwangu teh
 
Teh teh..Yani sometimes unatamani miaka irudi nyuma aisee..Na Kuna ile ya sean paul " I'm still in love with u"...zina story nzuri sana kwangu teh
Teh uzee umetupenda zaidi. Aaah I'm still in love with you aliimba na Sasha. Afu kuna ile alishirikishwa na Eve inaitwa give it to you. Na ile yupo na keyshia Cole- give it up to me looooh kweli zilipendwa. Afu daddy inaonekana ujanani ulisumbua sana teh
 
Dancing skills za kwenye I'm still in love wth u zilikuwa zinanikosha sana aisee...Mi sijawahi kuona nyimbo mbaya ya Sean Paul..Teh teh..Ujana maji ya moto Douta..Ila nafuu sikuungua
 
Dancing skills za kwenye I'm still in love wth u zilikuwa zinanikosha sana aisee...Mi sijawahi kuona nyimbo mbaya ya Sean Paul..Teh teh..Ujana maji ya moto Douta..Ila nafuu sikuungua
Hahaaa nilijua tu zile style zilikukonga nyoyo. Yeah sean paul anafaa sana kwa matumizi ya ujanani. Teh nashukuru hukuungua
 
Back
Top Bottom