MOD na ndg zangu Wakubwa habari za kwenu?
Tafadhali sana naombeni mniwekee nyimbo za ABBA group zote hasa zile zilizokuwa zinatamba sana enzi zile.Kwa kweli natamani sana kuzisikiliza.Aidha kama zilishawekwa hapa naombeni mnisaidie jinsi ya kuzipata ili nizichukua mara moja.
Majita