James Bay yuko wapi?, Vipi kuhusu Marc Antony?, Passenger umemuacha wapi?, Celine Dion anakosaje kwenye hiyo list mkuuMapenzi ni kitu ambacho kwa asilimia kubwa kinatawala katika nafsi ya mwanadamu. Amini usiamini kubali ukatae mapenzi yana thamani sawa na uhai wako.
Mimi ninapokuwa niko free napenda kusikiliza nyimbo zifuatazo kwa utulivu na kwa hisia nzito nikitafakari mengi juu ya wapendwa wanaonipa amani na furaha.
1. Love zone ~ Billy Ocean
2. Mystery Lady ~ Billy Ocean
3.One more night ~Phil collins
4.I'm Missing you ~Joe Thomas
5. Always(Adult contemporary) ~James Ingram
6. Do you Remember ~Phil collins
7. Cassanova~ Revert
8. I will always Love you~ Whitney Hoston
9....โฆ.
10........
11...........and the List goes
Vipi kuhusu wewe ni nyimbo gani nzuri unanishauri nizitafute na nisikilize??
Mkuu wote hao nawasikiliza ndio maana kuanzia tisa hadi kumi na moja nimesemaJames Bay yuko wapi?, Vipi kuhusu Marc Antony?, Passenger umemuacha wapi?, Celine Dion anakosaje kwenye hiyo list mkuu
Mkuu imebidi tu nichekeMchumba Mbona hutokei mamaweee[emoji444][emoji444]nakuja!!l lolo lilo lilo lilo lilooooooo[emoji444][emoji444]nakuja!!
ChakoriiMchumba Mbona hutokei mamaweee[emoji444][emoji444]nakuja!!l lolo lilo lilo lilo lilooooooo[emoji444][emoji444]nakuja!!
nakuja๐ต๐ต๐ตEeh ndo unaitwaje huo mkuu?
๐๐๐๐Mchumba Mbona hutokei mamaweee๐ต๐ตnakuja!!l lolo lilo lilo lilo lilooooooo๐ต๐ตnakuja!!
MambozElly
Ndo namshangaa mwenye uzi haujui ๐คช๐คช๐คช๐คช๐๐๐๐
Gest nishalipa Yani Mambo yote shwariii๐ต๐ต ...๐๐๐ Huo wimbo bwana