Kibundi wa getto
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 455
- 878
Mimi kwa upande wangu nyimbo ambayo Diamond amefanikiwa kuuteka moyo wangu mpaka nikahisi yupo kwenye ubora wake ever ni MAWAZO.
Wewe je?
Wewe je?
Hasira za kufungwa Yanga usizilete huku, mbona nifah yupo kimya huigi mfano wake?Wimbo wa Diamond ulionikamata sana ni AJE
Yani ile ngoma ni kale kuliko maelezo... manecky anajua sana kutengeneza beat za nyimbo zenye hisiaukimwona sijui y hakufanya video yake
UKIMWONA ilivuja hakuitoa rasmi ... ndo sabab kubwa mpaka akagombana na manecky kisa ni huo wimbo kuvujaukimwona sijui y hakufanya video yake
Yah lakini ilikuwa ni nymbo kali sana.UKIMWONA ilivuja hakuitoa rasmi ... ndo sabab kubwa mpaka akagombana na manecky kisa ni huo wimbo kuvuja