Hii ngoma ya aslay MUHUDUMU ni kali sanaaa huwezi fananisha na list yako yote kwa pamoja..
Hii kitu ikipigwa kwanza inapita maskioni moja kwa moja kwenye brain stem halafu inashuka moja kwa moja kwenye moyo na kuingiliana na mapigo ya moyo.
Wanasikiliza kuanzia walevi ,wachungaji ,walio tendwa na wapenzi n.k
Hii ngoma haichoshi kisikiliza yan hata kama unaumwa inaweza kuleta mood flani hivi hadi ukasahau ugonjwa wote...
Ngoma kama hizi hutokea mara chache kwa karne ...kwahio lazima tujivunie imetukuta kwenye generation yetu