Nyimbo 20 bora za Mwana Falsafa za muda wote

leo naomba nijaribu kuwaletea nyimbo 20 bora kabisaa za za mtoto wa mwanamuziki nguli wa zamani mzee mwinjuma aka mc mbondei
Ambazo hazitakuja kukaa kuchuja zingne ni za zamani ila kwa ubora wake zingetoka kipindi hiki zingefanya vema sana

1.ingekuwa vipi ft jaymoe
2.unanisikiliza mchumba
3.mabinti
4.wanapendana ft dully sykes
5.aminia ft ngwea and inspector haroun
6.wakati umelala ft mangustino,jos mtambo & immam abbas
7.haina ufagio
8.mtumishi ft mike T & banana zorro
9.unanitega ft pauline zongo
10.hawajui ft jay dee
11.ukinitazama ft TID
12.siku hazifanani ft zahir zorro
13.siendi club ft jay moe and unique sisters
14.bado nipo nipo
15.sitoi hela
16.mfalme ft g nako
17.kiboko yangu ft alikiba
18.verse moja ft dudubaya
19.nazeeka sasa
20.sitoamka ft jaydee
Kwa watoto hapa wataona maluwe luwe tu.
 
IMG_6517.JPG

Falsafa the Choir Master kuokoa muda na pumzi muite B.
Jamaa ngoma zake zote mimi naziona bora hana papara kwenye uandishi na kati ya wasanii wachache ambao ngoma zao zitadumu hata kama yeye atakua ameondoka jamaa ni G.O.A.T kwenye Bongo Fleva industry.
Mungu ampe afya na pumzi kwa muda mrefu tuendelee kupata darasa na burudani kupitia kwake,keepin' the good music Alive.
 
Kuna kawimbo kake kanaitwa binamu........ simchezo una beat kali( mwenye kuujua aniwekee hapa nitashukuru) 2003 HIYO

nyama choma na mishikaki sio kila kitu nnijuacho
toka kitambo nayafanya hayo mambo,
binamu show me some love binamu ndi jina la mchezo.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom