D DENAMWE JF-Expert Member Joined Dec 29, 2019 Posts 880 Reaction score 909 Jul 1, 2020 #1 Mke wangu alikuwa anaangalia nyigu kwenye dari. Ghafla akakojolewa na mmojawapo. Jicho limewasha sana. Hatujaweka chochote ingawa anaanza kupata ahueni. Naomba ushauri wenu iwapo kuna la kufanya. Sent using Jamii Forums mobile app
Mke wangu alikuwa anaangalia nyigu kwenye dari. Ghafla akakojolewa na mmojawapo. Jicho limewasha sana. Hatujaweka chochote ingawa anaanza kupata ahueni. Naomba ushauri wenu iwapo kuna la kufanya. Sent using Jamii Forums mobile app
mangonifera indica JF-Expert Member Joined Dec 2, 2017 Posts 845 Reaction score 1,472 Jul 1, 2020 #2 Dooh pole yake masikini hiyo ni rare case kukojolewa na mdudu anyway tungoje wataalamu wa macho waje.
Dooh pole yake masikini hiyo ni rare case kukojolewa na mdudu anyway tungoje wataalamu wa macho waje.
THOMASS SANKARA JF-Expert Member Joined Nov 13, 2014 Posts 2,066 Reaction score 4,776 Jul 1, 2020 #3 Aoshe na maji safi na salama (maji ni dawa) Aoshe mara nyingi baada ya muda kidogo tu maumivu yatapoa Tahadhari! Mimi sio daktari ama mtaalamu wa afya.
Aoshe na maji safi na salama (maji ni dawa) Aoshe mara nyingi baada ya muda kidogo tu maumivu yatapoa Tahadhari! Mimi sio daktari ama mtaalamu wa afya.
D DENAMWE JF-Expert Member Joined Dec 29, 2019 Posts 880 Reaction score 909 Jul 12, 2020 Thread starter #4 Nawashukuru sana nyote. Amepata nafurahi kuwa amepona. Asanteni sana wana jukwaa. Sent using Jamii Forums mobile app
Nawashukuru sana nyote. Amepata nafurahi kuwa amepona. Asanteni sana wana jukwaa. Sent using Jamii Forums mobile app