Nyie wanawake mna nini?

Nimestaajabu kumsifia kote huko umeenda round mbili Baharia umetuangusha hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
mzee utakuwa wewe ni mmoja ya watu ambao mnaamini kwenda round 5 ndyo kuenjoy au kumkomoa mwanamke!
mapenzi hayako hivyo, unaweza piga hata moja na wote mkawa mme enjoy zaid ya 3 au 4. kawaida yangu kwa usiku mmoja huwa napiga 2 tu ikitokea mata chache 3 ila nadi ya moja yangu kwa mwenzangu nahakikisha ana2 hilo ndyo nazingatia.......

mimi sipigi kama kuku dk1 hapana.....nafanya maandalizi dk45 mpaka saa1, naingia kwenye tunda kwa muda wa dk 30-40' hapo 5 za nini????
 
Fungua ukurasa mpya wa mapenzi yenu, huyo x wake ni wa zaman, cha kufanya mpime HIV, Mimba Na magonjwa mengine usije kubeba mzigo siyo wako.

mmmh! point hapa
 
Hongera mkuu [emoji848][emoji848] na kiporo wanapasha haya maisha yana kwenda kwa kasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KAMa umempenda. Mkapime afya zenu, mkiwa safi songen mbele. Anafaa usiangalie mambo ya kizaman demu akusumbue mwaka. Weka ndan
 
fucvk the bitch and fucvk her again but never make a permanent love for her. Hivi unawezaje kuachana na mpenzi ulikuwa unaishoi naye ndani ya siku moja ushapata bwana na kusex naye mkuu jitafakari
 
Ushauri wa bure.

Nenda kapime ukimwi usije sema hukuambiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UKIMWI UPO...na unaua kila kuchapo............usiwaingize ndugu zako na familia ktk majonzi ya MILELE...... hakuna kitu kinauma kama kuumuuguza ndugu yako wa damu till she/he passed away........maumivu hayaishi......jitahidi utumie kinga mdogo wangu..........mahaba MATAMU.......ila maisha ni matamu zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…