Nyie wanawake mna nini?

Kama vile umekula kimasihara. Kuhusu kuwa mke ni wew kuamua sisi hatuwezi kukuchagulia
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iliwahi kunitokea wakati nikiwa mwaka wa pili chuo mwaka 2004. Mtoto baada ya kutemwa na mwana akani.............
Kweli kabisa me mwenyewe imenitokea mwaka 2012. Alishitukia Jamaa yake anachepuka nae akaanza kuchepuka kwangu. Yani mpaka anaolewa na mtu mwingine mimi nikikutana nae tunasalimia kwa romance lakini sasa nimestop sababu ana child

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa haraka haraka tu hujatumia condom kwa gubegube la siku moja pole sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushaambiwa Sinza alaf hujiongezi dah [emoji3][emoji3][emoji3]..

Hujui biashara inayoendelea sinza mzee, hapo umevagaa changu mzoefu!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…