Nyie wanawake mna nini?

Nimeona kama bahati mbaya na sio mtu sahihi kwangu
Sasa kwani wewe ulikuwa unatafuta serious relationship? Bwana wewe hao wanawake wamewekwa hapa duniani kwa ajili ya starehe yetu sie wanaume so wee kama umeshamgegeda na kakupa uno la maana be happy u enjoyed it.
 
Ila kuna muda wanaume tunazingua. Binti akikuelewa fasta unaanza doubt nakusema ni mrahisi sijui malaya n.k.

Akikaza napo maneno mengi mara anaringa, mshamba n.k

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa kwani uongo wote tunaogegeda na kugegedwa kabla ya ndoa ni malaya. Sema tunajidai kujitoa ufahamu tuu ila ukweli ni kwamba wote malaya tuu sii mwaume sii mwanamke
 
Chai haina viungo vya kutosha kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…