Nyie wanawake mna nini?

wote mna makosa mkuu maana wote siku ya kwanza ww umemgonga na yeye amegongwa ila usiogope sana hiyo ndo inaitwa kula tunda kimasihara na yeye ameliwa tunda kimasihara
 
Cha msingi umemgegeda hago ya kwamba mrahisi sana au anafaa kwa serious relationship hayana maana wee endelea kumgegeda tuu.
 
Cha msingi umemgegeda hago ya kwamba mrahisi sana au anafaa kwa serious relationship hayana maana wee endelea kumgegeda tuu.

Nimeona kama bahati mbaya na sio mtu sahihi kwangu
 
Ana stress za x wake ndio maana umekula mzigo kirahisi

mimi pia nafikiria hilo ndyo maana nimeanza mkaushia pole pole nisije mwaribia kwa jamaa yake zaidi maana anaonekana kuhitaji sana kuendelea kuwa na mm
 
Mara ya Kwanza unapiga kavukavu, kwa vile mzuri wa umbo na anakatika kiuno, alikuwa anaishi sinza kwa malaya wenzake wanajiuza Kia sehemu hapo sinza. Mimi mwanamke akisema anakaa sinza tena looseball namna hiyo juwa huyo ni chawote, mchunguze sana huyo, utaanza Kutumia dose,
 
Nilikutana na Mwanamke Katika Mazingira kama hayo, Siku ya kwanza kukutana tukala tunda kimasihara, Nikawa na wasiwasi kama tutadumu kwenye Mahusiano. Lakini sasa n mke wangu Mwaka wa 5 huu, na tunapendana sana.

Usiogope

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ha haaa, tatizo kujua huyo mwenzangu mazingira aliyopo kwa sasa//// mimi X wangu ni wa miaka zaidi ya 2 iliyopita tushasahauliana
Fungua ukurasa mpya wa mapenzi yenu, huyo x wake ni wa zaman, cha kufanya mpime HIV, Mimba Na magonjwa mengine usije kubeba mzigo siyo wako.
 
Unaonaje bingwa swali lako ukamuuliza mwamba aitwaye rikiboy wa Umewahi kula tunda kimasihara? Ana majibu kuntu na lukuki

Bazazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upele inamuota hasiye na kucha ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…