Nyie walalavi Mungu anawaona!

Unahisi hao watakuwa kina nani Humu J.F!
 
Walalavi imenisumbua kuelewa. ....
Nimejikuta na google. ...
Picha zimenielewesha. ...
Ile Kamusi niliitupa wapi sijui.....
[emoji6][emoji6][emoji6]
 
Namba 2 ni zaidi ya mlalavi. Kaona isiwe tabu baada ya kushiba ubwabwa wa kizungu.
 
Wana JF wengine sasa vichwa vyenu vimekuwa bashite empty kabisa,umewekewa picha za viumbe vimelala halafu bado unauliza ulalavi ndio nini,hivi tutaacha kutilia mashaka vyeti vyenu?
 
Jamani walalavi ndo nini mkuu!!!

Wana JF wengine sasa vichwa vyenu vimekuwa bashite empty kabisa,umewekewa picha za viumbe vimelala halafu bado unauliza ulalavi ndio nini,hivi tutaacha kutilia mashaka vyeti vyenu?
We hujawazoea Tu mkuu,wengine walimu humu michango yao ni maswali mwanzo mwisho.
 
Wana JF wengine sasa vichwa vyenu vimekuwa bashite empty kabisa,umewekewa picha za viumbe vimelala halafu bado unauliza ulalavi ndio nini,hivi tutaacha kutilia mashaka vyeti vyenu?
Taratibu mkuu watu wengi wanateleza kwa freebasic internet ya bure madhara yake ni kushindwa kuona picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…