Nyie wahitimu kwanini msijiajiri

Tuition zenyewe zipo kweli......

Si zilifutwa .......?

Yaani mwalimu atafute kazi ya tuion
Dactari atafute tuition ya kutibu....
Nesi pia atafute tuition ya uuguzi ?

Hapo ndipo nauliza budget ya kuajiri inaenda wapi?
 
Tuition zenyewe zipo kweli......

Si zilifutwa .......?

Yaani mwalimu atafute kazi ya tuion
Dactari atafute tuition ya kutibu....
Nesi pia atafute tuition ya uuguzi ?

Hapo ndipo nauliza budget ya kuajiri inaenda wapi?

mbona sijakuelewa,hizo proffesion ulizozitaja hakuna anayestrugle na masomo????si wanafundishwa theory??
 
Unaona kabisa vijana wamenyimwa mikopo ya masomo sasa hayo mafundisho ya ziada watawalipa nini wanaowakochi!?
 
Unaona kabisa vijana wamenyimwa mikopo ya masomo sasa hayo mafundisho ya ziada watawalipa nini wanaowakochi!?

kwani waliokosa mkopo wanaenda uni mkuu,mie nimesema current students,meaning walio chuo tayari,km hiwezekani potezea mkuu
 
umejitahidi kuwaza vizuri, lakini sio kitu rahisi kama unavyozani kuwa na tuition ya chuo kikuu
 
Kwa hela gani walizokuwa nazo hao wanachuo,Pita pale mabibo hostel mida ya jioni uwaone wanachuo wa mlimani jinsi wanavyokula mihogo ............izo tuition labda wawafanyie mkopo
 
Huwa mnatoa ushauri kama waganga wa kienyeji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…