Nyie wadada nimekoma sirudii tena!

Nyie wadada nimekoma sirudii tena!

Hahahaa. Ila kuna mambo humu duuh.

Hata ajali kazini bado unaianzishia uzi. Hivi niulize usingeharisha ungekuja huku kweli?
Angekuja kusema mengine. Mara Bwawa kashindwa kuogelea.. Mara kiuno kigumuu.

Hatukosagi neno
 
isije kuwa ni kipindupindu halafu unasingizia denda boss...wahi hospitali haraka!!
 
Ilitakiwa ivae condom mdomoni wakati huo wa wet kiss
 
Back
Top Bottom