Nyie vijisichana!

Nyie wasichana mnaojiita wanawake mnaponunua Simu kumbuka kuwa zinatumia vocha!kama huna hata uwezo wa kujinunulia vocha kwa matumizi yenu wenyewe mnanunua ili iweje?
Tumechoka baby baby nitumie vocha Mara MB rubbish
Mkuu unapigwa vizinga hadi kwenye vocha????πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
taabu inakuwa pale unaombwa vocha na wewe unaomba vocha kwa baba/mama.. tena ukidanganya umeskia matokeo ya shule yametoka na wanayarusha kwenye web ya shule!
.
.
jifunze care bwana mdogo.. huyo ni mpenzi kakuomba vocha, siku ukimwoa akakuomba hela ya kwenda kushona.. si utakuja na uzi mwingine humu..
.
.
viwanda not viwonder!
 
sio kwa povu hili nguo namalizia kufulia
 
Mkuu hata kumnunulia mtu vocha ni issue ya kuileta jukwaani watu wajadili ? Kuwa serious basi
 
Wanaume baadae kutakuwa na kikao cha dharura hoja

"wanaume kuaibishana katika baadhi ya mambo kwa sisi wenyewe kwenye baadhi ya social media "


Nb: sitaki kumuona Nyete kwenye kikao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…