Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,107
ndio wapo wengiTatizo unadate na visichana visivyo na kazi
ndio wapo wengi
Nyie wasichana mnaojiita wanawake mnaponunua Simu kumbuka kuwa zinatumia vocha!kama huna hata uwezo wa kujinunulia vocha kwa matumizi yenu wenyewe mnanunua ili iweje?
Tumechoka baby baby nitumie vocha Mara MB rubbish[/QUOTE ZIRO IQ hana tatizo na na hilo!
Mwanamke anaomba mtaji sio vocha!Ni aina mojawapo ya uwekezaji
Na iwe hivyoPole sana mkuu
Nadhani wamesikia kilio chako