Afu ivo vifaa vya kugegeda baada ya ibada mnavipaka mafuta ya Mwamposa vinatulia au siotunafunga na kumuomba, kumsifu na kumwabudu Mwenyezi Mungu....ndiyo burudani yetu
[emoji38][emoji38][emoji38]Hao wana hata me ninaoHakuna anayechukia mapenzi
Tunapishana namna tunavyoyapa kipaumbele
Kuna huyo mwanangu mmoja yani mkikutana ye mada yake ni mbususu tu, dah mpaka unamkwepa sometimes
[emoji23][emoji23]Atakua mzabzab uyo [emoji38]
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Na ww unashangaa tena, au ndo mdau mkubwa wa show