I imaney JF-Expert Member Joined Nov 10, 2012 Posts 1,014 Reaction score 314 Aug 8, 2013 #1 kiwanja cha 20 kwa 25 unaweza kujenga nyumba?20 kwa 40 je? ghorofa single storey kwa million 60 inawezekana?km sio shiling ngapi inatosha??? nani anikopeshe millioni 25 dada yenu ninunue kiwanja cha kujidai.....:smile-big:🙂:tape:
kiwanja cha 20 kwa 25 unaweza kujenga nyumba?20 kwa 40 je? ghorofa single storey kwa million 60 inawezekana?km sio shiling ngapi inatosha??? nani anikopeshe millioni 25 dada yenu ninunue kiwanja cha kujidai.....:smile-big:🙂:tape:
I imaney JF-Expert Member Joined Nov 10, 2012 Posts 1,014 Reaction score 314 Aug 8, 2013 Thread starter #2 halafu kila archtect aweke mchoro/kazi ambayo amekwishafanya kny hii thread ili iwe rahisi kumjua mtu amtafute yupi,,...:tongue:
halafu kila archtect aweke mchoro/kazi ambayo amekwishafanya kny hii thread ili iwe rahisi kumjua mtu amtafute yupi,,...:tongue:
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 23,265 Reaction score 17,135 Aug 8, 2013 #3 Huwapati ng'oo....wanaijua hela hao!
I imaney JF-Expert Member Joined Nov 10, 2012 Posts 1,014 Reaction score 314 Aug 8, 2013 Thread starter #4 Safari_ni_Safari said: Huwapati ng'oo....wanaijua hela hao! Click to expand... hahaaa na sie hatuwatafuti
Safari_ni_Safari said: Huwapati ng'oo....wanaijua hela hao! Click to expand... hahaaa na sie hatuwatafuti
georgeallen JF-Expert Member Joined Jun 3, 2011 Posts 4,120 Reaction score 1,882 Aug 8, 2013 #5 imaney said: kiwanja cha 20 kwa 25 unaweza kujenga nyumba?20 kwa 40 je? ghorofa single storey kwa million 60 inawezekana?km sio shiling ngapi inatosha??? nani anikopeshe millioni 25 dada yenu ninunue kiwanja cha kujidai.....:smile-big:🙂:tape: Click to expand... swali la kwanza: Haiwezekani Swali la pili : Inatosha Swali la Tatu: Una dhamani gani ili ukopeshwe? NB: Mbunye siyo dhamana
imaney said: kiwanja cha 20 kwa 25 unaweza kujenga nyumba?20 kwa 40 je? ghorofa single storey kwa million 60 inawezekana?km sio shiling ngapi inatosha??? nani anikopeshe millioni 25 dada yenu ninunue kiwanja cha kujidai.....:smile-big:🙂:tape: Click to expand... swali la kwanza: Haiwezekani Swali la pili : Inatosha Swali la Tatu: Una dhamani gani ili ukopeshwe? NB: Mbunye siyo dhamana
I imaney JF-Expert Member Joined Nov 10, 2012 Posts 1,014 Reaction score 314 Aug 8, 2013 Thread starter #6 georgeallen said: swali la kwanza: Haiwezekani Swali la pili : Inatosha Swali la Tatu: Una dhamani gani ili ukopeshwe? NB: Mbunye siyo dhamana Click to expand... thanks wangu,before we go any further naomba unihakikishie kiwanja cha 20*40 hakitoshi kujenga nyumba?
georgeallen said: swali la kwanza: Haiwezekani Swali la pili : Inatosha Swali la Tatu: Una dhamani gani ili ukopeshwe? NB: Mbunye siyo dhamana Click to expand... thanks wangu,before we go any further naomba unihakikishie kiwanja cha 20*40 hakitoshi kujenga nyumba?
georgeallen JF-Expert Member Joined Jun 3, 2011 Posts 4,120 Reaction score 1,882 Aug 9, 2013 #7 imaney said: thanks wangu,before we go any further naomba unihakikishie kiwanja cha 20*40 hakitoshi kujenga nyumba? Click to expand... Siyo viwanja vya kujidai. Labda hiyo 20x40 . nacho bado ni cha kujibana. Kiwanja cha kujidai angalau kianzie 26 x40 na ujenge gorofa
imaney said: thanks wangu,before we go any further naomba unihakikishie kiwanja cha 20*40 hakitoshi kujenga nyumba? Click to expand... Siyo viwanja vya kujidai. Labda hiyo 20x40 . nacho bado ni cha kujibana. Kiwanja cha kujidai angalau kianzie 26 x40 na ujenge gorofa