COARTEM
JF-Expert Member
- Nov 26, 2013
- 3,622
- 3,696
Kauli walizowahi kutoa Viongozi wa UKAWA kuhusu Lowassa 1.Atakayemuunga mkono Lowasa apimwe akili - Msigwa 2.CCM wamempa fomu kugombea urais MTU aliyepaswa kuwa jela, wametudharau watanzania - Lipumba. 3.Nawashangaa wanaochoma moto vibaka na kumuacha Lowasa anatanua mtaani - Mbowe 4.Ni heshima KWA Mungu kumzomea mwizi na fisadi kama Lowassa - G.Lema 5.Lowassa tumemtaja katika list ya watu wanaotia hasara Taifa (List of shame) - Slaa6. Nina ushahidi juu ya wizi unaofanywa na mafisadi sugu wa Tanzania akiwemo Lowassa na akina Rostam - Mnyika HAO NDIYO VIONGOZI WETU!!Hilo zigo mlilotaka kuwabebesha wananchi hamlioni?. Au ndiyo yale ya NYANI HAONI KUNDULE?