Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,340
- 28,633
Unataka falsafa ya Lowassa?
Nafikir ni kwasababu n rais wa kwanza wa tz na aliongoza kipindi ambacho taifa halikuwa na wataalam wa kumkosoa na hata km walikuwepo waliogopa kufanya hvo kwa kuhofia usalama wao hvo usishangae sanakiongozi, kila jambo Nyerere alisema au Nyerere hakusema hivyo! Nyerere hakupenda hilo au Nyerere alisema tumwogope huyu kama ukoma! Are we blind that we can't see?
mkuu watu waoga ndo wanaangamiza mataifa kama haya yanayoendelea, mtu ambaye yuko strong yuko tayari kutiwa gerezani hata kufa kwa ajili ya jamii yake, hawa waliokuwepo enzi za mwl. na wakakaa kimya sio watu wa kuwasikiliza wamekosa hoja hawana uzalendo wowote ule na nchii hii.....wangejifunza kutoka kwa madibaNafikir ni kwasababu n rais wa kwanza wa tz na aliongoza kipindi ambacho taifa halikuwa na wataalam wa kumkosoa na hata km walikuwepo waliogopa kufanya hvo kwa kuhofia usalama wao hvo usishangae sana