Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,380
Shamba la Taifa limejaa Nyasi na Magugu tangu lilipo limwa na Watangulizi, nani atafanya Palizi bila Malipo?
Jinsi nisivyoikubali TANU ndivyo nisivyoikubali CCM na Viongozi wake. Ni Vyama vya MIHEMKO. ASP ilikuwa chama bora sana ila hawakutambua Misingi yake.
Tunaambiwa "Shake before Use, Angalia Mbele kabla hujavuka barabara" TANU haikuangalia Mbele, CCM imeangalia Nyuma.
KISANDULISM System.