Hivi kweli na usomi wako huna hoja ya kuwakilisha mpaka uombe msaada, unasomea kozi gani wewe ndugu yangu. Mambo ni mengi ya kumuuliza mfano unemployment, poor quality ya elimu ya hapo Mzumbe ambayo sie wa nje tunaiita voda fasta, mambo ya katyiba mpya ya nchi, kwa nini Migiro mwenyewe alishindwa kazi UN mpaka akafukuzwa na Ban Kimoon yaani maswali yapo chungu nzima