mose
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 289
- 241
= 6 : Rizayati ya Elimu 3.0 =
Dhana ya Usentieti ni jambo linalokadirika kwa 'kujisikia, vina vya tafsiri kwa hisia na fikra, na akili'. Utu ni tunu ya usentienti, ‘Umoja’ pia ni 'hitaji' la kimkakati-maisha kwa jamii sentieti ili kujikimu ama/na kukabiliana na mazingira yake.
Hili kwa hapa Tanzania, leo hii 2023, ni sawa na kutaja muktadha wa 'utaifa' na mipaka ya nchi sovereini ya Tanzania kama 'mazingira'--mazingira ya ustawi na maendeleo. Taifa la watu, kwa nia 'moja', hutafuta kujipanga na kujijengea uwezo ili kujinasibu na koherensia na sinejia katika kuijenga nchi. Kwa hivyo 'miundo' na 'matendo' ndiyo hukadirisha sura na muktadha wa maendeleo--maendeleo ya watu na vitu, ilivyo ni kudhihiri kuhama kutoka sura duni/isiyopendeza/hafifu ili kuendea sura bora/madhubuti/yakupendeza kiustawi. Historia ya nchi kwa mfano, ni muktadha wa 'kumbukumbu uzoefu' wenyekufanya wanajamii kujifunza kutokana na makosa ama masahihi ya wakati hata wakati...
Sasa, kadiri wanajamii watakavyokuwa wanafanya jitihada kuamka, daima huwa dhahiri katika usentieti wao kuwa duniani kuna nguvu ambazo hutafuta kufanya wanajamii wengi wabaki kwenye usingizi. Hili lisijekushangaza mtu, kwa maana ndiyo huja na tafsiri ya ‘Utaasisi’. Taasisi ni mzingo wa ushawishi kwa kadiri ya mawazo na mafikara ya jamii yoyote kisomoni. Sisi Wabantu tuna msemo “Aliyelala usimuamshe, ukimuamusha utalala wewe.”; hili ni kwa mujibu wa ‘Utaasisi’ katika jamii -- hasa hasa ikiwa ustawi wake unakadirika kwa wale 'Wajanja' kunufaika na 'upoyoyo' wa wengi... Miundo ya kijamii huwa ni mahusiano ya miundo ya nguvu; jambo ambalo ndilo huzaa 'mifumo' katika kukatiza kwa vipindi vya muda...
Haya yanakadirisha namna tatu ambazo wanajamii wanaweza kuzinduka--kutoka katika upoyoyo na kuwa watu waliomacho na madhubuti dhidi ya nguvu zenye kupumbaza. Kadiri mwanajamii anavyofanya bidii katika ELIMU 1.0 huyu anakuwa kwenye nafasi nzuri ya kuushinda 'ujinga', kadiri anavyofanya vizuri katika ELIMU 2.0 huyu anajiweka katika nafasi nzuri ya 'kujivua gamba'--gamba la ufikirifu pofu wa kimakundi; na kadiri anavyofanya vizuri katika rizayati ya ELIMU 3.0 huyu awa na 'Hekima ilivyo ni Liberiti'--huru ya kwelikweli...
Sasa, usentieti una maana mapana na 'vina vya tafsiri' ya mtu juu ya 'mambo ya/na uzima wake' ni fanusi ya fahamu zake tano--ama kupitiliza hizo tano--ikiwa kataamulika, au anaamka 'kiroho'.
ELIMU 3.0 kwa mfano, inamapelekea ya mtu kuwa na ufahamu mpana zaidi na wenye kina kwa mambo ya mwili, mazingira na maisha. Hili peke yake kwa mfano, ndiyo mzizi wa fitina kwa 'upofu wa mwanadamu' kiakili, roho na ufahamu. Yesu alilinasibu na unabii wa Isaya -- alikuwa anazungumza ya watu kuwa na macho na hali hawaoni pia kuwa na masikio lakini hawasikii hata mbele ya mtu wa ELIMU 3.0... Adui mkubwa wa jamii ni 'imani haba' kutokana na mwanadamu kuwa na silika ya 'kujikataa'--kudai eti yeye ni mwanadamu tu! Mtu yeyote anayelidumisha hili ni mlaghai, japo anawezakuwa kuwa anafanya hili kwa kuwa yeye, kiufundi, si mwenye kujua ilivyobora.
Kadiri ya shauri ya 'Maji ya Uzima'--Maji jinesesia, mwanakisomo 1.0 anayonafasi kutanua mawezekano yake ya kiakili na kutanua hisia na intuji juu ya 'Ontolojia ya Taasisi'. Ikiwa ELIMU 2.0 inahusishwa, basi ni rahisi kupata topografu na topolojia ya mtu, wakati na utaasisi. Kwamba, kila kitu kimeanza na maji; na basi bila shaka wakati, mambo ya nyakati na uumbiko wote, ni fanusi ya 'maji', 'dhamiri ya nafsi yenye kujitambua' na 'uimajinisho kuhuluku'.
Ikiwa haya ya 'fanusi, kujitambua na uimajinisho' tunayashahibisha na fizikia mkondo mpana ya leo, 2023, tunaweza kutumia fremu-kazi ya uono na ufikirifu mifumo kulioanisha na ulimwengu wa 3D, 4D na 5D(Dimensha 3,4 na 5)--japo 3D, 4D na 5D ni konstrakti tu za wanasayansi wanaofikiria ulimwengu walau kwa mujibu wa 'usupasha', 'usupashi-wakati' na 'Uono wenye vina vya Tafsiri'. Kwamba usupasha una vizio vya mapana, marefu na kina katika zile dhana na tafsiri za ukiasi--ukiasi 'skala' ama/na 'vekta'... Ni tabia za jiometria za gravitali na umeme, kwa mfano, ndivyo vimekadirisha 'Mraba' kuwa ni kisio cha 'usupasha'...
Kwa hivyo 'Maji ya uzima', kama vile ilivyo katika jinesesia, kwa ELIMU 2.0 ni 'topografu na topolojia' ya 'usifa akili kimiminika wa ulimwengu' wenye kuweza kuweza kuwa lolote na chochote--maada, nishati,wakati na unafasi/supasha. Haijalishi ni namna gani tunaweza kudhani ulimwengu una asili ya 'mtengano wa nukta moja hata ingine'--kisupasha ama wakati; haya yanaweza kuwa ni 'vina vya tafsiri'. Ikiwa tunazo analojia tofauti za 'miundo' na 'mifumo' basi tunaweza kuishia nia 'vina vya tafsiri' tofauti katika umodelishi wa udhanifu, mafikara na nadharia.
Hebu tufanye uimajinishi, kwa mfano, ulimwengu wote mzima umefanyika kwa 'chembe nuru'--chembe nuru moja tu; kwa hii, kila kitu kimefanyika kuwa ni maada, nishati, wakati, na supasha, Je, hili litajipambanuia vipi na kostrakti za 'dimensha'? Kiufundi, hili linawezekana kwa kudhanifu kuwa chembe hiyo ni ndogondogo, ndogo hasa--inifitesimali, kuelekea kadiri ya nukta 'inidefitamu'; tena, simulitali kudhanifu, kwa wepesi wake usiyo mithili --chembe nuru hii kuwa na sifa kukimbia kwa kasi kadiri ya kuelekea 'inifinitamu'.
Namna hii ni sawa na kutokuwa na 'usupasha' bali 'uwepo' ambavyo kadiri ya chembe yenyewe kujikatiza ndiyo mfanyiko wa yote yaliyodhahiri na yasiyodhahiri. Basi kwa sifa hizi mbili za kimuundo na mwendo, kwenye fremu kazi uono na ufikirifu mifumo kuwa ndivyo visawe vya 'muundo na kitendo', chembe hii itakuwa 'mahala pote' na 'wakati' wote--wakati uliopita, SASA na wakati ujao. Iwe 'fiziki dunia' ama 'fiziki jua', 'fiziki falaki', fiziki-mwili-mtu' ama usupasha, kila kitu kina asili moja--ontolojia ya taasisi ilivyo ni chembe nuru...
Uono wowote, hukadirisha 'kiini' cha 'ontolojia ya taasisi' na tena 'sura na mienendo'. Pia, hufanya kadiri ya kubaini 'muktadha' na 'kitovu' cha 'uweza, na nguvu na utukufu' ilivyo katika jicho la 'nafsi-roho' na kumbe haya yote ni kadiri ya 'uweza wa kuona jambo/tukio kwa mapana ya ufalme wake'... Huu ndiyo uhusiano wa 'taasisi' na 'metafanusi, ambavyo hata 'nafsi' ni taasisi... Ndivyo basi yawa kwa watu wa rizayati ya ELIMU 3.0, husemwa 'jicho ni mlango wa nafsi'... Usanisi wa 'nafsi' na 'roho' ndiyo tunaweza kuita ni nafsi-roho, ikiwa ni kama mbegu isiyodhahiri juu ya 'uzima wa miili'--kuiita 'sonafi'. Basi kisomo 2.0 kwa 'kudra' ama/jaala ya mtu ama kiumbe chochote ni fumbo la kutengua 'dhamiri', 'vina vya tafsiri' na 'mfumo' wa pale ambapo fizikia-mwili ya kiumbe huishi na kutawala...
Kwa ELIMU 2.0; topografu na topolojia ya 'uchukuzi na mawasiliano' yawa dhahiri kwa vina vya tafsiri kadiri ya uwepo, matendo na uweza. Mwili unawakilisha uwepo-fizikia, matendo ni lolote ama chochote tunachoweza kukibaini katika mtu ama kiumbe kulingana na mahala pa miliki/alamu yake. Kwa mwanadamu kwa mfano, ni fasaha ya muktadha kwa 'kazi za mikono' na miguu 'kwa kiguu na njia' juu ya uso wa dunia--mazingira. Kwa kuwa miguu inakadirisha hadhi ya kujongea kutoka sehemu moja hata ingine, na mikono ni mikono ni zana za mtu kuhuluku na kuunda. Mikono ni zana ya kukadirisha 'nia' ya 'kutenda' kwa uimajinisho, ukuu wa akili ya mwanadamu unabayanisha kupitia 'kazi za mikono yake'... Riziki ya mtu ni tunda la kazi za mikono yake, mazingira na ubunifu.
Kiuono na ufikirifu mifumo, tunaweza kukadirisha hekima ya ukweli wa kwamba kama ilivyo ndani ndivyo ilivyo nje, kama ilivyo juu ndivyo ilivyo chini; basi kumulika ilivyo ndani ya mwili, hili ndilo linatupatia ubainifu wa fanusi ile ile ya ufraktali wa usentienti, akili na fahamu... Mwili wa mwanadamu ni mfumo, ni viungo vingi na hali mwili ni mmoja--na kumbe hii ndiyo siri ya 'uzima wa miili'. Basi, kadiri tunavyoweza kuutazama mwili wa mwanadamu kwa uweza, nguvu na utukufu ndiyo tunaweza kubaini uhusiano wa 'vinasaba na sonafi' vyenye kuufanya mwili wenyewe ni chombo cha 'roho' kujipambanua katika ulimwengu-fiziki. NI katika daraja la vinasaba na sonafi tunaweza kubaini uhalisia wa 'akili jinesia' na 'akili sovereini jumuifu'.
+++++++
View: https://www.youtube.com/watch?v=coaaEVxILcA