Nyerere ana maneno huyo!!

jobe ayoub

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2012
Messages
203
Points
195

jobe ayoub

JF-Expert Member
Joined Jan 30, 2012
203 195
"...Kama mtu akikufanyia jambo la kijinga, ukajua kakufanyia jambo la kijinga,
naye akajua amekufanyia jambo la kijinga ukakaa kimya, atakaudharau....BY JK

Refer,
jinsi ccm wanavyotufanyia ufisadi wanajimikisha nchi na kutufanya mazuzu kwa sababu tumekaa kimya.
sasa wemefikia mahali viongozi wa chama ndio wanakagua miradi ya maendeleo na kuwachimba mkwara watumishi wa umma,
Swali,je kazi za mawazi husika ni zipi sasa kama akina KINANA wamekua mawazi na mawziri wakuu.
uzuzu huu jamani watz,
mmmmmmmmh
 

Mat.E

Member
Joined
Dec 28, 2010
Messages
66
Points
0

Mat.E

Member
Joined Dec 28, 2010
66 0
Hizo ni dalili za serikali iliyoshindwa. Kubadili tena baraza la mawaziri imeshindikana, anaona hakuna jipya! Sasa MBINU MPYA ni Kutumia viongozi wa chama, Mawaziri na mkuu wao Pinda BUREEEE! Ni serikali ya mfamaji.. Zomeazomea iendeleee tu. HAKUNA njia ya kuwaondoa akina Jeyikeyi kwa sasa, ibara ya 8 ya katiba ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania,1977,hairuhusu wananchi kuiondoa serikali iliyoshindwa madarakani!
 

Forum statistics

Threads 1,392,963
Members 528,761
Posts 34,123,640
Top