Negative255
New Member
- Sep 5, 2010
- 3
- 0
Na haya aliyasema "UCHAGUZI wa mwaka huu kuna watu wa ajabu ndani ya CCM ambao hawafanani na chama. Watu wengi wenye kasoro wamejiingiza na kukichafua chama. Sasa CCM kimekuwa kama kokoro, kinabeba pia watu wachafu."
Alitabiri lini? & wapi?!! kwani nyerere ni mnajimu?!! Au huna habari amekwishafariki?:confused2: sikunyingi kweli
BTW .. karibu JF! next time njoo na thread zenye akili.. sio kwasababu una muda& PC/LAPTOP basi unapost chochote humu! ukijisikia hivo nenda GPL
''I WON'T LET MY COUNTRY BE LED BY DOGS'' hivi haya maneno alitamka nani? kumbukumbu zangu zinaniambia ni KAMBARAGE.. sijui wenzangu kumbukumbu zenu zinasemaje?Na haya aliyasema "UCHAGUZI wa mwaka huu kuna watu wa ajabu ndani ya CCM ambao hawafanani na chama. Watu wengi wenye kasoro wamejiingiza na kukichafua chama. Sasa CCM kimekuwa kama kokoro, kinabeba pia watu wachafu."
Hao "DOGS" ndio CCM wa sasa, na hatutarudia makosa mwaka huu! Asante sana kwa kukumbusha hili mkuu!''I WON'T LET MY COUNTRY BE LED BY DOGS'' hivi haya maneno alitamka nani? kumbukumbu zangu zinaniambia ni KAMBARAGE.. sijui wenzangu kumbukumbu zenu zinasemaje?