Nyerere ajificha kwa Wassira

Nyerere ajificha kwa Wassira

Ni kweli WASSIRA ana kila sababu ya kuungwa mkono ili awe Rais wa nchi hii!
 
Mimi sijapewa kitu chochote wewe mwenyewe unawajua wagombea wanatumia fedha ningezitaka ningeenda huko kuzitafuna ! Mimi napigania heshima ya taifa hii.Nawapigania wazalendo wanaolipenda taifa hili kwa moyo wa dhati ambao maisha yao na matendo yao yanatupa picha kamili ya uzalendo wao.Nawapigania wazalendo watakaoguswa na maisha duni ya mama zetu na baba zetu huko vijijini ambao hawajui kesho yao itakuwaje.Wassira ni kielelezo cha viongozi tunaowahitaji ndio maana watanzania wameweka matumaini yao ya mwisho kwa Wassira.

Utakesha mkuu
 
Back
Top Bottom