Mpaka ni mto Mirongo ukivuka kwenda Clinic kuelekea Nera... huko kote ni Ilemela, Mto mirongo kuja mjini na city centre yote ni Nyamagana mpaka kuja huku njia ya Shinyanga alafu kama unakwenda njia ya Musoma (Nyerere road) mpaka ni hiyo barabara yaani upande wa kushoto kama unaelekea Musoma ni Ilemela na upande wa kulia ni Nyamagana though kuanzia hapo Mabatini mpaka Nyakato National hata mie bado pananizingua kiaina (ila kwa kuanzia tumia mto Mirongo na hiyo barabara ya Nyerere though nadhani Mabatini yote itakuwa Nyamagana