Nyege mshindo

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Hivi wadada tutawajuaje kama mna nyege ,ila hili neno nyege pia naona silifahamu vyema,kuna mtu aweza lielezea kwa ufasaha.

Sababu ya kuuliza hivyo ni leo nilikutana na wadada kwenye kasherehe flani ,kuna wadada nikakaribisha vinywaji japo siwajui ,mmoja wao akaniuliza ..una nyege nini?

Mwengine akadakia tena nyege mshindo.

Nikasepa kivyanguvyangu maana nilishindwa kuwaelewa ,basi nikawa na dukuduku hadi hapa JF ndio nalitoa ili kupata maelezo ni urafiki ni mapenzi ni mapendo sikuwaelewa
 
Nyege ni ule mkuno wa kutaka kupark gari lako pangoni. Au kwa Ke ni hali ya kutaka chimney cleaner. Nyege mshingo ni pale wakati mtu anaweza kupata mfazaiko tayari. Kama hamna mtu karibu kasi unapanda mnazi. Ila jinsi ulivyoulizwa basi wewe ulikuwa kama ATM tu...
 
Hivi wadada tutawajuaje kama mna nyege ,ila hili neno nyege pia naona silifahamu vyema,kuna mtu aweza lielezea kwa ufasaha .

Sababu ya kuuliza hivyo ni leo nilikutana na wadada kwenye kasherehe flani ,kuna wadada nikakaribisha vinywaji japo siwajui ,mmoja wao akaniuliza ..una nyege nini..? Mwengine akadakia ..tena nyege mshindo..! Nikasepa kivyanguvyangu maana nilishindwa kuwaelewa ,basi nikawa na dukuduku hadi hapa JF ndio nalitoa ili kupata maelezo ni urafiki ni mapenzi ni mapendo sikuwaelewah !!!

nyege ni hela.
nyege mshindo ni hela za mawazo/ngama

walitaka kujua kama unahela.....sasa kesho ukienda kibaruani muombe yule mhasibu wenu akukopeshe nyege halafu watafute hao mabinti wakupunguzie.
 
Kuna experts wa hayo mambo watafika muda si mrefu hapa

ENhee,maana hizi ndo saa za walevi wenye usingizi wakalale,waache hapa tukielimishana ,unajua elimu ya hapa ni kama bahari imejaa maji huwezi kuyamwaga ukayamaliza.Ni elimu nyingi kutoka kila kona ya Tanzania ,!
 
Nyege ni ule mkuno wa kutaka kupark gari lako pangoni. Au kwa Ke ni hali ya kutaka chimney cleaner. Nyege mshingo ni pale wakati mtu anaweza kupata mfazaiko tayari. Kama hamna mtu karibu kasi unapanda mnazi.

Hili ndio jibu,ila hilo swali la kwanza ngoja kina Eva waje!
 
Last edited by a moderator:
nyege ni hela.
nyege mshindo ni hela za mawazo/ngama

walitaka kujua kama unahela.....sasa kesho ukienda kibaruani muombe yule mhasibu wenu akukopeshe nyege halafu watafute hao mabinti wakupunguzie.

aiseeee ufafanuzi umetulia ..
 
Kumbe ndie wewe ulieshambuliwa, ningalijua kama ni member wa jf ningekusaidia
Pole mkuu
 
Una miaka mingapi bro!!!!

Na wewe nawee ,kila ukija hapa una miaka mingapi ,sasa miaka yangu,embu nieleze itakufikisha vipi kileleni ? Una zarau wewe usizau Mwiba tumbo linaweza kuota nunduh ! Kwani wewe ushabalee !
 
Kumbe ndie wewe ulieshambuliwa, ningalijua kama ni member wa jf ningekusaidia
Pole mkuu
Mambo mingine inakubidi umezee ,wale wanawake wakuda sana ,yaani wametoa msamiati ikabidi nije hapa ,na hapa napo wananizingua wanaulizia nina miaka mingapi ,hivi hawatoi kama hawajajua miaka yako ? kutoa jibu ,hih !
 
Na wewe nawee ,kila ukija hapa una miaka mingapi ,sasa miaka yangu,embu nieleze itakufikisha vipi kileleni ? Una zarau wewe usizau Mwiba tumbo linaweza kuota nunduh ! Kwani wewe ushabalee !

Embu--hebu
Zarau--dharau
Usizau--usidharau
Ushabalee--ushabalehe

Andika tu taratibu usiwe na harakaa
 
genye mshindo, ni zile zenye kutoa sauti mdomoni na kumkaribisha kila ke, na madhara yake ni kubakwa na me zao.
 
Back
Top Bottom