Nyc pics of today

Nimependa hako kabeibe na pussycat
 
hicho kitu kilichopo baharini ndio mpango mzima.
Nalog off
 
Yaani nyau anapata shida sana ndani mkiwa na mtoto mdogo....nephew wangu humkalia juu kama punda lol....
aaah mtoto naye anapata kazi hujui,unakuta anakuwa anashika masharubu ya paka anang'atwa
 
Yaani nyau anapata shida sana ndani mkiwa na mtoto mdogo....nephew wangu humkalia juu kama punda lol....
Tena wale watoto wasio waoga wanawavutaje...wanabaki na manyoya mikononi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…