Nyati amuua 'jangili' Hifadhi ya Taifa

Chondechonde huyo Nyati apelekwe haraka Ngorongoro akawalinde wale nyati waliobaki wanne wa JK.

mkuu ngorongoro mbona nyati wako wengi tuu!kama unazungumzia faru bado ni zaidi ya hiyo namba
 
Huyu nyati kakosea sana kuua, jangili sio huyo mwindaji anayetafutia wanae kitoweo, bali majangli yamejazana CCM yakiongozwa na JK. Kuna haja ya kuleta nyati CCM.
 
Huyu hakuwa mwindaji haramu, ni mali asili ya nchi yake, akienda mwarabu anapewa kibali mara moja ila mwenzangu na mie hupewi kibali kilicho baki ni kujitwalia :A S 13:
 
sasa angewezaje kumbeba nyati mzima peke yake hapo unaweza kukuta alikua na kundi la zaidi ya watu 70 wa kumsaidia kubeba hiyo nyama

hata angekata guu moja tu halafu nyingine angeacha palepale angekula mpaka angekinai yeye na jamaa zake
 
Hard life with fake promise from JK, me nafikiri huyo marehemu alikuwa na hamu na kitoweo na hakuwa na jinsi na akiangalia bei ya nyama buchani haikamatiki. Ikabidi ajitose ndani ya mbuga mpaka mauti yalipomkuta.RIP marehemu poleni ndugu wa marehemu
Source ya haya yote ni JK
mayanza hii sasa mmevuka mipaka,hata jangili ambalo linateketeza maliasili za nchi nae mnataka kusema ni rais jk amesababisha hayo?fanyeni heshima kidogo kwa rais wa nchi,huu uhuru wakuongea usivuke mipaka.
 
Hawa majangili kuna kitu kinaitwa roda, inawezekana nyati alishanasa kwenye roda kwa hyo marehemu akaona kazi imeisha ila nyati wananguvu sana akikuotea anakufa na wewe, huwa wanamtoboa macho kwa spoko.

This is funny. Ebu niambie unaanzaje kutoboa macho ya nyati na spoko? Utakuwa umesimama wapi?
 
Back
Top Bottom