mtungu JF-Expert Member Joined Dec 15, 2021 Posts 271 Reaction score 439 Apr 11, 2023 #1 Hivi zishafika bandarini au ilikua danganya toto tuliambiwa viwanja kumi watavikarabati na kuviweka nyasi bandia je hela hakuna au ndio uongo wa kila siku.
Hivi zishafika bandarini au ilikua danganya toto tuliambiwa viwanja kumi watavikarabati na kuviweka nyasi bandia je hela hakuna au ndio uongo wa kila siku.
MAWEED Platinum Member Joined Oct 11, 2016 Posts 4,617 Reaction score 16,420 Apr 11, 2023 #2 Yaleyale ya CAG
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,610 Reaction score 138,644 Apr 11, 2023 #3 Wahuni watakuwa wameshapiga cha juu kitambo, kwenye zabuni ya hizo takataka zao.
Ahyan JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 2,700 Reaction score 6,335 Apr 11, 2023 #4 Wale ila wasivimbiwe
CAPO DELGADO JF-Expert Member Joined Aug 31, 2020 Posts 12,283 Reaction score 27,929 Apr 11, 2023 #5 Selikali ya Samia nayo imeanza kuwa na Mauongo mengi kama ya Magufuli.. Mara kiwanja Cha kisasa Dodoma. Mara hadi 2021 kitakuwa tayari. Mara kitajengwa na Mfalme wa Moroko nk...... Ma uongo uongo tu
Selikali ya Samia nayo imeanza kuwa na Mauongo mengi kama ya Magufuli.. Mara kiwanja Cha kisasa Dodoma. Mara hadi 2021 kitakuwa tayari. Mara kitajengwa na Mfalme wa Moroko nk...... Ma uongo uongo tu
ukikaidi utapigwa2 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 16,307 Reaction score 31,728 Apr 11, 2023 #6 CAPO DELGADO said: Selikali ya Samia nayo imeanza kuwa na Mauongo mengi kama ya Magufuli.. Mara kiwanja Cha kisasa Dodoma. Mara hadi 2021 kitakuwa tayari. Mara kitajengwa na Mfalme wa Moroko nk...... Ma uongo uongo tu Click to expand... CCM ni ile ile rejea wimbo wao
CAPO DELGADO said: Selikali ya Samia nayo imeanza kuwa na Mauongo mengi kama ya Magufuli.. Mara kiwanja Cha kisasa Dodoma. Mara hadi 2021 kitakuwa tayari. Mara kitajengwa na Mfalme wa Moroko nk...... Ma uongo uongo tu Click to expand... CCM ni ile ile rejea wimbo wao