SNAP J
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 7,079
- 7,976
Nyaraka za Siri kati ya Washington na Tel Aviv zinazozungumzia mpango mkakati wa kuwamisha mazima wapalestina kutoka Gaza kwenda nchi jirani ya Egypt katika jangwa la Sinai zimevuja.
Katika nyaraka hizo zinazodadafua jinsi Israel watakavyotekeleza mpango huo dhalimu wa kutaka kutakatisha jamii ya wapalestina (ethnic cleansing), Serikali ya Bibi inamuomba Biden msada wa US Dola bilioni 106 ili kufanikisha adhma yao ovu.
Moja ya Sehemu ya nyaraka hizo zinasema:
.."T̸h̸i̸s̸ c̸r̸i̸s̸i̸s̸ c̸o̸u̸l̸d̸ w̸e̸l̸l̸ r̸e̸s̸u̸l̸t̸ i̸n̸ d̸i̸s̸p̸l̸a̸c̸e̸m̸e̸n̸t̸ a̸c̸r̸o̸s̸s̸ b̸o̸r̸d̸e̸r̸ a̸n̸d̸ h̸i̸g̸h̸e̸r̸ r̸e̸g̸i̸o̸n̸a̸l̸ h̸u̸m̸a̸n̸i̸t̸a̸r̸i̸a̸n̸ n̸e̸e̸d̸s̸, a̸n̸d̸ f̸u̸n̸d̸i̸n̸g̸ m̸a̸y̸ b̸e̸ u̸s̸e̸d̸ t̸o̸ m̸e̸e̸t̸ e̸v̸o̸l̸v̸i̸n̸g̸ p̸r̸o̸g̸r̸a̸m̸m̸i̸n̸g̸ r̸e̸q̸u̸i̸r̸e̸m̸e̸n̸t̸s̸ o̸u̸t̸s̸i̸d̸e̸ o̸f̸ G̸a̸z̸a̸.”..
Pia inaaminika Israel inampango wa muda mrefu wa kuja kuwaondoa wapalestina wanaioshi West Bank na kuwapeleka Jordan.
Wakati hayo yakijiri Biden ameongea kwa simu jana usiku na Abdel El-Sisi wa Egypt.
Moja ya mambo kati ya mengi waliyozungumza ilikuwa ni kumpongeza El-Sisi kwa kuruhusu Misri kupitisha misaada ya kibinadamu kwenda Gaza.
Ikumbukwe Serikali ya Abdel Fattah El-Sisi iliingia madarakani mwaka 2013 baada ya mapinduzi yaliyojulikama kama "Arab Spring " yaliyoasisiwa na CIA ambayo yalipelekea kupinduliwa kwa serikali ya kidemokrasia Muslim brotherhood.