chitambikwa
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,941
- 903
amechangia elimu yetu kushuka kwa kasi anaendelea kuwazalilisha watu wa tarime siyo kama tuwajuavyo- Heri ilo jina aitwe mbwaWakuu nimesikiliza mchango wa mbunge wa Tarime Nyangwine nyambari nikagundua ana mapungufu yafuatayo:-
1.Hajiamini anaongea kwa kuchekacheka.
2.Anaongea kama yupo kwenye vijiwe vya kampeni Nyamono.
3.Anapoongea hatulii kwenye kiti anakuwa kama anawashwa.
My take:
Kwa mnaomfahamu naomba mnipe mnachokifahamu kuhusu huyu mheshimiwa.
unaona sasa....na wewe huna tofauti na huyo nyangwine:......
ameongea nini
juu ya nini
wapi
lini
na kwa nini............
Nilimsikiliza kipindi cha kuchangia bajeti ya serikali,tangu siku hiyo sitamani tena kumtazama. Leo ilipofika zamu yake nilitoka maana hiyo ni takataka,yaani anaongea mnyika then baada ya hapo unamsikiliza Nyangwine si utaona hujitendei haki. Ki ukweli I hate the guy ingawa ni schoolmate wangu pale mara secondary...wana tarime wamekosea sana kumchagua nyangwine kuwa mbunge wao.nimemsikiliza akichangia hotuba jioni hii....ni mtu ambaye hawezi kujenga hoja mtu wa kuchekacheka hata ktk mambo ambayo ni serious km mauaji ya nyamongo............amejikanyaga kwa kutaja mambo ya ajabu kama kukata watu mapanga mpaka lukuvi (ambaye wanatoka chama kimoja)ameomba afute kauli...........this is nyangwine.
Hajui kuongea, hajui kujenga hoja, hayuko serious, hana vision etc huyu ni bogus, NATILIA SHAKA MAVITABU YAKE, NADHANI YAWEZAKUWA MOJA YA SABABU YA KUFELI WA TOTO WA SEKONDARI WANAOVISOMA!Kimsingi yuko shallow,hakuna mjadala hapa!mnabisha nini sasa!
Jamani naona afadhali nyangwne wenu wa kuchekacheka kuliko vilaza wa dodoma mjini kuanzia huyu na wengine waliomtangulia ni matapishi matupu. Alert : MAGAMBA ACHENI KUWEKA WAGOMBEA VILAZA DOM MJINI,JIMBO MNALIGAWA KWA CDM 2015!Kituko kingine bungeni,kuchekacheka na kuongea pumba,anatia aibu tupu!
kwani wewe ulikuwa humjui?waulize wamanyamongo wakupe undani wake.hayo mapungufu uliyaona ni machahe bali anayo mengi tu.inaonekana hata lugha kwake ni shida sijui hivyo vitabu alikuwa anaandikiwa au la.Wakuu nimesikiliza mchango wa mbunge wa Tarime Nyangwine nyambari nikagundua ana mapungufu yafuatayo:-
1.Hajiamini anaongea kwa kuchekacheka.
2.Anaongea kama yupo kwenye vijiwe vya kampeni Nyamono.
3.Anapoongea hatulii kwenye kiti anakuwa kama anawashwa.
My take:
Kwa mnaomfahamu naomba mnipe mnachokifahamu kuhusu huyu mheshimiwa.
Well said. Na tumeanzia vyuoni hata hapa cbe tumefungua tawi. Na tuna oparesheni fungua matawi kwa mitaa na vijiji vyote vya jimbo la dodoma mjini. 2015 lazima kieleweke dodoma, hatuwaachi magamba.Jamani naona afadhali nyangwne wenu wa kuchekacheka kuliko vilaza wa dodoma mjini kuanzia huyu na wengine waliomtangulia ni matapishi matupu. Alert : MAGAMBA ACHENI KUWEKA WAGOMBEA VILAZA DOM MJINI,JIMBO MNALIGAWA KWA CDM 2015!
nadhani watu tunatofautiana sana katika kutafsiri mambo. kaongea kipi kibaya? kwani si kweli kuwa wana tarime wamechoshwa? kwani si kweli kuwa sasa wako tayari kwa lolote? kwa taarifa yenu. hamjui tu kumsoma mtu mwenye furaha, huzuni, hasira n.k. muda ule jamaa alikuwa na machungu sana na wala msione alikuwa anacheka. mimi si wa Tarime wala mwana ccm bali namuunga mkono. si mmeona hata Ndugai kampotezea Lukuvi?
kwa taarifa yenu, ujumbe not only sent, but delivered. na wasitekeleze aliyosema Nyangwine waone. kama mnataka kujua kuwa alikuwa sahihi nendeni Tarime mkawaulize wahanga juu ya alichoongea leo kama hamjakaa kimya.