Hivi we mzima kweli?? Mbunge anapoongea kuchangia hoja unadhani anakuwa vichochoroni?? Hoja hapa ni style ya kuongea na sio points alizoongeaunaona sasa....na wewe huna tofauti na huyo nyangwine:......
ameongea nini
juu ya nini
wapi
lini
na kwa nini............
we ndo sio mzima. Uko peponi sio?Wakuu nimesikiliza mchango wa mbunge wa Tarime Nyangwine nyambari nikagundua ana mapungufu yafuatayo:- 1.Hajiamini anaongea kwa kuchekacheka.2.Anaongea kama yupo kwenye vijiwe vya kampeni Nyamono. 3.Anapoongea hatulii kwenye kiti anakuwa kama anawashwa.My take:Kwa mnaomfahamu naomba mnipe mnachokifahamu kuhusu huyu mheshimiwa.
Hivi we mzima kweli?? Mbunge anapoongea kuchangia hoja unadhani anakuwa vichochoroni?? Hoja hapa ni style ya kuongea na sio points alizoongea