Unakumbuka kule Shinyanga kuna hakimu wa mahakama ya mwanzo alichomwa bisu usoni na shingoni mwezi uliopita? Basi hata huyo Nyamlani ipo siku yatamtokea....ipo siku mtu atajitoa mhanga na kutuma ujumbe wa 'sasa basi, imetosha' na kumfanyia mbaya.
Chezea mengine lakini si haki za watu.
Nani alikkwambia ndani ya tff wanataka waandishi wa habari?,ili wakaumbue?!thubutu angalia walivyo wasanii hao!
WABHEJASANA sasa kazi iliyobaki ni kusafisha masalia ya Tenga.Mkuu nitajaribu kwa sbb nalindwa ile mbaya hawa jamaa waniwekea ulinzi leo siku ya 4 watu wanalipiwa kila kitu kwa ajili yangu kwa sbb mbinu zao zote naziweka hadharani na sijaanza leo,halafu wanajua sihongeki,sishawishiwi,na sibembelezeki hadi kieleweke,na tumesema wakichakachua tu TFF inavunjwa tutaweka historia kwa mara ya kwanza Afrika yote kwa ujumla.
unachokisema ni kweli kabisa NN.
ila anavyojiskia huyu utafkiri sijui anakunya keki na kukojoa soda yaani akitokea mtu wa kuRIP mie nitamwongezea zana ili amamalize kabisa
Kwahiyo nani amemfunika mwenzie sasa?
unachokisema ni kweli kabisa NN.
ila anavyojiskia huyu utafkiri sijui anakunya keki na kukojoa soda yaani akitokea mtu wa kuRIP mie nitamwongezea zana ili amamalize kabisa
habari za kuamka. gfsonwin, nani ka-win. karibu TG
Uko sahihi, wamewakatalia waandishi kurepoti uchaguzi wa TFF utadhani ni kikao cha wachawi, lakini ubao wa matokeo huwa haungopi.......
Ni Jamal Malinzi kidedea.
Mungu amlaani Leodgar Tenga kwa kutaka kuiacha TFF chini ya matapeli.
Bwegge huyu hasipewe hrshima yoyote na uongozi wa Malinzi.
Hili ni onyo tunakupa Jamal Malinzi ukikaidi subiri uone wembe ni ule uliomnyoa mla rushwa Nyamlani tutaurudisha kwako.
Mkuu Matola najua inauma sana lakini sasa pata amani kwa sbb kisiki kimeng'olewa,punguza jazba kidogo.
Nyie watu wachokozi sana!:shocked::shocked:W. J. Malecela tupe update tena,nani kamfunika mwenzake?
malinzi kashinda kwa kishindo rafiki
nitakaribia TG wangu
hivi ni wewe au mtu mweingine anatumia id yako...........inaonekana una hasira naye sanaunachokisema ni kweli kabisa NN.
ila anavyojiskia huyu utafkiri sijui anakunya keki na kukojoa soda yaani akitokea mtu wa kuRIP mie nitamwongezea zana ili amamalize kabisa
we le-mutuz ndio umemchongea huyu jamaa ulivyompigia kampen hapa njia pekee ya wewe kumsaidia ungekaa kimya!!1 kila unachokishabikia wewe watu wanatupa kuleeeeeeeeee...........
malinzi kashinda kwa kishindo rafiki
nitakaribia TG wangu