Nyama ya punda inaliwa?

Punda analika sana Singida na Dodoma bila madhara yoyote.

Ukiondoa Wasukuma; tuliobaki tunakula punda, mbwa, kenge, konokono, nyani, panya, simbilisi n.k. kwa sababu kiasili hatukuwa na wanyama wa kutosha tangu zama za mababu zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…