Mrengwa wa kulia
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 1,145
- 3,765
Mimi ni mfugaji wa nyama yetu pendwa Duniani. aise!!Habari.
Mimi ni mfugaji wa nyama yetu pendwa Duniani.. ya Kitimoto Tukufu
Nauza kwa bei ya jumla kuanzia kg 10
Kilo moja ni Tsh 11,000 Tu.
Nafanya delivery pia. Kwa mikoa ya Dar es Salaam na Pwani tu.
Nyama inaviwango vikubwa vya ubora fresh kutoka Shamba.
Ya kitimoto tukufuMimi ni mfugaji wa nyama yetu pendwa Duniani. aise!!
Naona na sura Yako imeanza kuadapt😂😂🙌🙌Habari.
Mimi ni mfugaji wa nyama yetu pendwa Duniani.. ya Kitimoto Tukufu
Nauza kwa bei ya jumla kuanzia kg 10
Kilo moja ni Tsh 11,000 Tu.
Nafanya delivery pia. Kwa mikoa ya Dar es Salaam na Pwani tu.
Nyama inaviwango vikubwa vya ubora fresh kutoka Shamba.
ungesindikiza na picha! huyo mnyama ana utamu wa pekee sana! sidhani kama kuna mnyama anaongoza kwa utamu duniani kama huyo! Kashika 1 duniani.Habari.
Mimi ni mfugaji wa nyama yetu pendwa Duniani.. ya Kitimoto Tukufu
Nauza kwa bei ya jumla kuanzia kg 10
Kilo moja ni Tsh 11,000 Tu.
Nafanya delivery pia. Kwa mikoa ya Dar es Salaam na Pwani tu.
Nyama inaviwango vikubwa vya ubora fresh kutoka Shamba.
Picha.Astaghfirullah! Ungeweka na mawasiliano Sheikh
Tayari mkuu.Picha.
Picha nimeshaweka inapendeza mashallahungesindikiza na picha! huyo mnyama ana utamu wa pekee sana! sidhani kama kuna mnyama anaongoza kwa utamu duniani kama huyo! Kashika 1 duniani.
Oooh. 0782589717 hiyo apo maalimAstaghfirullah! Ungeweka na mawasiliano Sheikh
Haha hawa sura yao ni nzur mashallah sio kama yanguNaona na sura Yako imeanza kuadapt😂😂🙌🙌