Nyama ngumu kwenye mguu (unyayoni)

PAMAGE

Senior Member
Nov 15, 2016
150
84
za asbh wana jamvi
nasumbuliwa na tatizo lakuota kinyama kigumuuu kwenye kisigino

tatizo lilianza kama vile kuna mwiba mahala hapo nikawa nachokonoa naona kama upo kwa mbalii ila ninavozd chokonoa dam inatoka na maumiv makali
baada ya muda kama mwez hv hyo sehemu huziba na kutengeneza ugumu mahali hapo wenye maumivu had nachehemea

tatizo limeendelea kwa muda mrefu sasa maana tangu mwaka 2007
nimekuwa nikipewa maelekezo mfn kutoa hizo nyama ngum na kavu kisha kuweka chumvi ila imekuwa ikisaidia kama kwa miez miwil tu kisha linaendelea

naombeni msaada wenu kwa anaejua tiba ya tatizo hili tafadhali
 
Back
Top Bottom