msisingizie sasa baadae tume....Kutoka kwenye chanzo cha karibu kabisa na aliyekua Mbunge wa jimbo la Singida kaskazini Mh Nyalandu, ni kwamba mwanasiasa huyo anatajaria kukaa na kupumzika kwa muda kugombea ubunge kutetea nafasi aliyoiacha baada ya kujiuzulu na kuhamia CHADEMA.
Pamoja na hivyo, Mh Nyalandu atampisha aliyekua mshindani wake Mh Jumbe ambaye alishika nafasi ya pili wakati wa uchaguzi mkuu 2015 kupitia CHADEMA. Kwahiyo mh Nyalandu ataungana na timu ya mgombea huyo kumpigia kampeni ili aweze kushida ndani ya jimbo hilo.
Huyu jumbe tangu kumalizika kwa uchaguzi 2015 ni mtu ambaye amekua karibu sana na wananchi, kwa sasa anatumia muda mwingi sana kukijenga chama ndani ya jimbo lake na mkoa kwa ujumla. Ushawishi wake umezidi kuongezeka hasa baada ya yeye kuanzisha kampeni ya kuanzisha Benki ya maendeleo ya wananchi wa Singida kwa kushirikiana na wadau mbali mbali.
Kuna kikosi maalum ambacho kilikua ndani ya CCM na kimekua kikihakikisha kua Nyalandu anashida uchaguzi miaka yote.Kwa taarifa ni kwamba kikosi hiki sasa kimehamishia majeshi CHADEMA baada ya bosi wao kutimkia huko, ingawa yasemekana pia kuna mgawanyiko kiasi flani ambapo kuna wengine walisalia ndani ya CCM ili kumuunga aliyekua katibu wa Mbunge na mwenyekiti wa halmashauri ya Singida vijijini ndugu Digha ambaye mpaka sasa pia ni mtia nia wa ubunge kupitia CCM.
Anaogopa aibu ya kushindwa
kwani yeye Nyalandu alishindaje alipokuwa CCM hadi nyie mkalalamika??anashindwaje sasa kuwasiaida msiporwe hizo kura?Ccm wanajipanga kwa wizi na uporaji wa kura
Arusha chadema hata waweke kijana mwenye miaka 18 atashinda tuMkuu labda nikutaarifu tu mpango ambao umesukwa ni kutaka Nyalandu agombee jimbo la Arusha mjini mwaka 2020, Lema atakwenda Hai na Mbowe aende Moshi mjini na hapo ndio vita kati ya Mbowe na Jafarry Michael itakapofufuka...lkn Nyalandu akiingia Arusha ndio stori yake kisiasa itakwisha
Siku mkishindwa mkunbuke haya.Arusha chadema hata waweke kijana mwenye miaka 18 atashinda tu
Anagombea Singida mjini 2020 kushindana Mwigulu Chemba.Mkuu labda nikutaarifu tu mpango ambao umesukwa ni kutaka Nyalandu agombee jimbo la Arusha mjini mwaka 2020, Lema atakwenda Hai na Mbowe aende Moshi mjini na hapo ndio vita kati ya Mbowe na Jafarry Michael itakapofufuka...lkn Nyalandu akiingia Arusha ndio stori yake kisiasa itakwisha
Yah mtashinda tu km wale madiwani wa5 wa arumeru mmeshinda kwa nguvu zoteSiku mkishindwa mkunbuke haya.
Acheni prooaganda hayo ya 2020 unayajua??? Yaani wabadilishe majimbo kma wanacheza bao??? Hakuna mtu anaweza fanya risk namna hyoMkuu labda nikutaarifu tu mpango ambao umesukwa ni kutaka Nyalandu agombee jimbo la Arusha mjini mwaka 2020, Lema atakwenda Hai na Mbowe aende Moshi mjini na hapo ndio vita kati ya Mbowe na Jafarry Michael itakapofufuka...lkn Nyalandu akiingia Arusha ndio stori yake kisiasa itakwisha
Kweli mkuuAcheni prooaganda hayo ya 2020 unayajua??? Yaani wabadilishe majimbo kma wanacheza bao??? Hakuna mtu anaweza fanya risk namna hyo
Btw huyo jaffary michael ubunge alipewa tu kwa fadhila za ndesamburo so sio mlafi wa madaraka kma unavyotaka kuonyesha hapa eti washikane mashati na mbowe!!!!