Kombo JF-Expert Member Joined Oct 29, 2010 Posts 1,812 Reaction score 511 Jan 19, 2012 #2 Mambo ya vijijini hayo, afande alikuwa anadowea picha na "mtarajia! (siyo mtarajiwa)."
Ringo Edmund JF-Expert Member Joined May 10, 2010 Posts 4,879 Reaction score 1,134 Jan 19, 2012 #3 naona kamanda mura yupomyuma. sijui ni mtinko au?namwonw na juma njiku kwa pembeni,wanyaturu naona wameona kila mtu anaweza kuwa rais kwa sababu ya kikwete.
naona kamanda mura yupomyuma. sijui ni mtinko au?namwonw na juma njiku kwa pembeni,wanyaturu naona wameona kila mtu anaweza kuwa rais kwa sababu ya kikwete.
N nyuki dume JF-Expert Member Joined Oct 8, 2010 Posts 435 Reaction score 34 Jan 19, 2012 #4 Anafanya mazoezi endapo akiwa Rais
Kombo JF-Expert Member Joined Oct 29, 2010 Posts 1,812 Reaction score 511 Jan 19, 2012 #5 Ringo Edmund said: wanyaturu naona wameona kila mtu anaweza kuwa rais kwa sababu ya kikwete. Click to expand... Una utani na wanyahoo?
Ringo Edmund said: wanyaturu naona wameona kila mtu anaweza kuwa rais kwa sababu ya kikwete. Click to expand... Una utani na wanyahoo?
TzPride JF-Expert Member Joined Nov 2, 2006 Posts 2,616 Reaction score 1,172 Jan 19, 2012 #7 Kombo said: Una utani na wanyahoo? Click to expand... Wanyahooo! mmmh haya bwana...nitaacha kuitikia hooo..
Kombo said: Una utani na wanyahoo? Click to expand... Wanyahooo! mmmh haya bwana...nitaacha kuitikia hooo..