Huyo ana hasira za mkizi. Kakosa nafasi ya uwaziri. Watu wake wa vitalu vya uwindaji wamepigwa chini. Ndio maana unaona anafanya harakati za hasira na aio za mahaba. Kina lema na kina sugu wenyewe walishaachana na harakati hizo. Kina mnyika wote hata hawatoi matamko. Huyo joto likishuka atapoa na kurudi ccm akisema chadema kila mtu ni kambale.