Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 57,913
- 133,926
Klabu kubwa Afrika Tp Mazembe na As Vital Club 🇨🇩 hazijakidhi kufuzu mashindano ya kimataifa msimu huu.
Timu zilizofuzu nchini Congo
✅ Ligi ya Mabingwa Afrika:
•Eagle du Congo (Bingwa wa Ligi) 🏆
•Saint Eloy Lupopo (nafasi ya pili)⚡️
✅ Kombe la Shirikisho:
•Union Maniema (nafasi ya 3)
•AS Simba (Bingwa wa Kombe la Rais) 🏅
Timu zilizofuzu nchini Congo
✅ Ligi ya Mabingwa Afrika:
•Eagle du Congo (Bingwa wa Ligi) 🏆
•Saint Eloy Lupopo (nafasi ya pili)⚡️
✅ Kombe la Shirikisho:
•Union Maniema (nafasi ya 3)
•AS Simba (Bingwa wa Kombe la Rais) 🏅